Donald Trump Kumpa Uhuru Netanyahu Dhidi ya Iran

Nimeliona ila wewe hujaliona pole kijana
 
Trump hana chakuifanya Iran, angekua nacho angeishambulia iliposhambulia kambi za USA huko Iraq huku yeye akiwa Madaraka .
Je, haukuona kwamba Trump ndiye aliyeidhinidha Amri ya Kuua 'Assassination Order' dhidi ya Mwanasayansi Mbobevu zaidi wa Iran ambaye alikuwa anahusika na Uhandisi wa Silaha za Nyuklia nchini Iran??
 
Nukuu tu kaka; wala srinagar aibu. Kumbuka huyo Panetta sio mfanyakazi wa CIA anymore; kastaafu. May be ana majukumu mengine or not, not sure. The guy is very bright. Ka predict na mimi nimemsifia kwa uwezo wake period. Sikurupukagi kaka
Ndio maana nikasema hilo alopredict itaendelea tu kua predict
 
Hili la Iran kutaka kumuua Trump kwenye ardhi ya nyumbani kwake sidhani kama linaweza kua na ukweli; kwa mtazamo wangu ni walitaka kumpakazia Iran wakiwa na sababu zao. I'm sure Biden's regime walihusika and of course CIA, sababu zile zile zilizotumika kumuua John F. Kenedy ndio hizo hizo zilitaka kukatisha maisha ya Mjerumani huyu. Iran kama nchi, hana jeuri ya kuandaa assignation ya rais mtarajiwa tena akiwa amewahi kua rais wa nchi hiyo; hili hapana kwa kweli; pale tulipigwa
 
Huwa hamchoki tu na haya matamanio yenu ya kijinga ?
 
Nani aliyebakwa ?
 
Ujinga tu.
 
Trump atatoa full permission Iran achakazwe na Iran ikicheza kidogo tu au kuleta jeuri atapigika na kupotea kabisa kama Iraq au Syria au Gaza au Libya..!!
Kama makundi yanayofadhiliwa na Iran kama Hezbullah na Houthi wanaisumbua Israel na USA..wanatumia tech za kisasa katika kurusha drones na makombola hao iran wqtachakazwa vipi wakati anataka kuwa super power middle east syria na iraq kuna base zake ..kama USA alitulizwa syria na Assad kurejeshewa urais na kaweka kambi na iraq kaweka wanamgambo na tech kawapa


Kitakachofanyika ni kumuwekea vikwazo lukuki tu hakuna kingine
Trump atatoa full permission Iran achakazwe na Iran ikicheza kidogo tu au kuleta jeuri atapigika na kupotea kabisa kama Iraq au Syria au Gaza au Libya..!!
 
Anampa uhuru wa kufa? USA kumpa Israel uhuru wa kufanya ugaidi wao mbele ya Iran ni sawa na kusema umempa uhuru mtoto wako akaogelee kwenye mto wa mamba, hata huyo USA mbele ya Iran hana anachoweza kufanya
 
Bila Marekani kujihusisha moja kwa moja itakuwa vigumu kwa Israel kutekeleza hilo.

T14 Armata
 
Zaman watu wivyokuwa wanaisifi isreli nikajua ni bonge la military state..aishukuru usa kwa lipidizo la tarehe 26 na kwa bahati mabaya limefeli vibaya mpaka raia wao wanashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…