Donald Trump Kumpa Uhuru Netanyahu Dhidi ya Iran

Donald Trump Kumpa Uhuru Netanyahu Dhidi ya Iran

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,362
Reaction score
48,879
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CIA, amesema kwamba anatarajia serikali ya Donald Trump, tofauti na Setikali ya Biden, itampa Netanyahu uhuru wote dhidi ya Iran, yaani Israel iamue wakati gani wa kuishambulia Iran, iishambulie Iran kwa namna gani, na ishambulie maeneo gani.

Ikumbukwe kuwa utawala wa Biden, ulifanya jitihada kubwa, kwanza kuizuia Israelilipize kisasi, uliposhindwa hilo, ukajitahidi sana kuizuia Israel isishambulie targets ambazo Israel ilipanga kushambulia. Kwenye hili utawala wa Biden ulifanikiwa, na hivyo kuondoa visima vya mafuta na kiwanda cha kurutubisha nuclear energy kwenye orodha ya targets za Israel.

Lakini kuingia kwa utawalawa Trump, unatazamiwa kuyaonfoa haya yote, na huenda kusababisha vita kamili kati ya Israel na Iran.

Source: The Guardian:

Donald Trump will as president give Benjamin Netanyahu a “blank check” in the Middle East, possibly opening the way for all-out war between Israel and Iran, the former CIA director and US defense secretary Leon Panetta predicted.
“With regards to the Middle East, I think he’s basically going to give Netanyahu a blank check,” Panetta said of Trump, who won the presidential election this week and will take office again in January.
“‘Whatever you do, whatever you want to do, whoever you want to go after, you have my blessing.’ I mean, he basically said that [before the election].”
 
Kumbuka mahakama ya haki Huko Washington imewatia hatiani washukiwa waliotaka kumuuwa trump huku Iran ikiwa nyuma ya mipango yote ya mauaji..... trump ana hasira nao Sana Iran.

Kinachofanyika sasa ni kufungua Milango ya mazungumzo Kati ya Russia na Ukraine ili kumaliza vita, Russia anahitaj kupumzika na viya na hawakuwa tayari kuingia kwenye vita nyingine ya Iran......naona anguko la Iran lipo karibu sana kuanzia mwakani
 
Trump hachochei vita anakomesha vita
Republican huwa ni miamba wa vita - recall Sadam na Gadaf.
Republican hawataki kabisa kusikia kitu UGAIDI.
Huwezi kuchinja watu live, kubaka watoto mbele ya wazazi wao, kuteka na kuua zaidi ya watu 1000 ambao hawajakuchokoza chochote afu ukabakia salama.
Gaza na Lebanon ni kivumbi - yaani kila uchao wewe na begi, godoro mgogoni kwenda safe zone. Ukigoma ni majivu wewe na familia yako.
 
Kumbuka mahakama ya haki Huko Washington imewatia hatiani washukiwa waliotaka kumuuwa trump huku Iran ikiwa nyuma ya mipango yote ya mauaji..... trump ana hasira nao Sana Iran.

Kinachofanyika sasa ni kufungua Milango ya mazungumzo Kati ya Russia na Ukraine ili kumaliza vita, Russia anahitaj kupumzika na viya na hawakuwa tayari kuingia kwenye vita nyingine ya Iran......naona anguko la Iran lipo karibu sana kuanzia mwakani
Wenzako waliliona tokea mwaka 79 khatimae wakaanguka wao
 
Lean Panetta; mwamba kweli kweli huy. Kwa wasiomfahamu vizuri, huyu ndiye hasa aliyefanikisha kujua wapi Osama anaishi na namna gani auawe, it was during Obama's regime. Mtu na nusu huyu; alimkamata Albagdad kwanza, gaidi aliyekua kwenye list ya CIA akishika nafasi ya 9 ya the most wanted people by American.
 
Trump atatoa full permission Iran achakazwe na Iran ikicheza kidogo tu au kuleta jeuri atapigika na kupotea kabisa kama Iraq au Syria au Gaza au Libya..!!
 
Lean Panetta; mwamba kweli kweli huy. Kwa wasiomfahamu vizuri, huyu ndiye hasa aliyefanikisha kujua wapi Osama anaishi na namna gani auawe, it was during Obama's regime. Mtu na nusu huyu; alimkamata Albagdad kwanza, gaidi aliyekua kwenye list ya CIA akishika nafasi ya 9 ya the most wanted people by American.
Trumpet hana jipya la kuifanya Iran hata aseme nani
 
Trumpet hana jipya la kuifanya Iran hata aseme nani
Mimi sijasema chochote kuhusu hilo bro; soma vizuri maandishi yangu. Sinaga kawaida ya kukurupuka. The only prediction nilio wahi kuifanya humu ni kuhusu either Kamala au Trump nani atakua raisi wa 47 wa taifa kubwa na imekua. Kwenye maandishi yangu nimemsifia Leon Panetta basi; hilo la Iran na Trump kwenye maandishi yangu umeliona wapi?
 
Back
Top Bottom