Donald Trump Kumpa Uhuru Netanyahu Dhidi ya Iran

Donald Trump Kumpa Uhuru Netanyahu Dhidi ya Iran

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CIA, amesema kwamba anatarajia serikali ya Donald Trump, tofauti na Setikali ya Biden, itampa Netanyahu uhuru wote dhidi ya Iran, yaani Israel iamue wakati gani wa kuishambulia Iran, iishambulie Iran kwa namna gani, na ishambulie maeneo gani.

Ikumbukwe kuwa utawala wa Biden, ulifanya jitihada kubwa, kwanza kuizuia Israelilipize kisasi, uliposhindwa hilo, ukajitahidi sana kuizuia Israel isishambulie targets ambazo Israel ilipanga kushambulia. Kwenye hili utawala wa Biden ulifanikiwa, na hivyo kuondoa visima vya mafuta na kiwanda cha kurutubisha nuclear energy kwenye orodha ya targets za Israel.

Lakini kuingia kwa utawalawa Trump, unatazamiwa kuyaonfoa haya yote, na huenda kusababisha vita kamili kati ya Israel na Iran.

Source: The Guardian:

Donald Trump will as president give Benjamin Netanyahu a “blank check” in the Middle East, possibly opening the way for all-out war between Israel and Iran, the former CIA director and US defense secretary Leon Panetta predicted.
“With regards to the Middle East, I think he’s basically going to give Netanyahu a blank check,” Panetta said of Trump, who won the presidential election this week and will take office again in January.
“‘Whatever you do, whatever you want to do, whoever you want to go after, you have my blessing.’ I mean, he basically said that [before the election].”
Popote alipo tia mguu mrussi trump awezi kuchezea tumieni akili Iran alicheza kete matata sama kujitoa kwa dhati kushirikiana na urussi alijua nini anafanya ...kama siyo urussi basi iran ingekuwa ipo hatarini sana kwa sasa Israel na USA wakunje mkia tu.
 
Kama makundi yanayofadhiliwa na Iran kama Hezbullah na Houthi wanaisumbua Israel na USA..wanatumia tech za kisasa katika kurusha drones na makombola hao iran wqtachakazwa vipi wakati anataka kuwa super power middle east syria na iraq kuna base zake ..kama USA alitulizwa syria na Assad kurejeshewa urais na kaweka kambi na iraq kaweka wanamgambo na tech kawapa

Kitakachofanyika ni kumuwekea vikwazo lukuki tu hakuna kingine

USA current president is weak, hana maamuzi, sasa humjui Trump wewe na kwa taarifa yako kashasema tayari katika kampeni zake kuwa he will order to bomb Iran na kuipoteza kabisa
 
Uyo Tramp kwasasa ataki shida na Iran ila nyiie pigeni ramri mana ndio ndoto zenu mkiambiwa Iran kubwa kijesh!! Lkn wenzetu washaaminishwa vijiweni kwao kuwa Iran ni sawa tu na Burundi nao wakaamini na kelele
Wakapiga na kusifu!!!! Uyo Tramp ndio ataichokoza Iran!!!! Uyo Tramp pia alikuwa kama nyie akizani USA inamaguvuuu lkn akatolewa taka kichwan toka apo aiyogopa Iran na anajua wanamuinda afu tena akachokoze sio tupo tutaona maajabu ya Tramp!!!!!!!!
 
Alikwambia hataki shida na Iran siyo!!!!!

Wewe ndio upo nae karibu sana kushinda huyo Secretary of states wa defence wa zama zake.

Trump si yupo na ameshinda. Hakuna wa kumsemea hapa. Tusubiri tuone anaenda kufanya nini.
 
Republican huwa ni miamba wa vita - recall Sadam na Gadaf.
Republican hawataki kabisa kusikia kitu UGAIDI.
Huwezi kuchinja watu live, kubaka watoto mbele ya wazazi wao, kuteka na kuua zaidi ya watu 1000 ambao hawajakuchokoza chochote afu ukabakia salama.
Gaza na Lebanon ni kivumbi - yaani kila uchao wewe na begi, godoro mgogoni kwenda safe zone. Ukigoma ni majivu wewe na familia yako.
Kwani uo ugaidi si inayegemea tu anakutafsiria na kuita yule gaidi ni nani? Kama wewe ukiambia Hamas ni magaidi na ukakubali eti sababu Marekani kasema basi we ndiye utakuwa una shida kichwan maana utatafsirika umeshindwa kukitendea haki kichwa chako. Lakini ata Marekani kaanzisha vikundi vya kigaidi vingi tu kwa maslahi yake.
 
Alikwambia hataki shida na Iran siyo!!!!!

Wewe ndio upo nae karibu sana kushinda huyo Secretary of states wa defence wa zama zake.

Trump si yupo na ameshinda. Hakuna wa kumsemea hapa. Tusubiri tuone anaenda kufanya nini.
Wewe unategemea Tramp atafanya nn kwa Iran tuanzie apo. Sababu wkt w kampeni uyo Tramp alinukuliwa akilalamika kuwa Iran inataka kumuua!!!!! Mbona akutaja nchi nyengine Ila Iran!!! Ww kaaa kwakutulia utajua iran yupo juuu sana
 
USA current president is weak, hana maamuzi, sasa humjui Trump wewe na kwa taarifa yako kashasema tayari katika kampeni zake kuwa he will order to bomb Iran na kuipoteza kabisa
Kipindi alivyokuwa rais awamu ya kwanza ufahamu au umejisahaulosha..revenge ya gen soleimani

Si Iran alitandika kambi za jeshi za usa zilizokuwa iraq bahrain mamia ya wanajeshi wamekuwa vichaa na vifo kadhaa na majeruhi na rais alikuwa Trump alichukua hatua gani zaidi ya vikwazo tu
 
Trump atatoa full permission Iran achakazwe na Iran ikicheza kidogo tu au kuleta jeuri atapigika na kupotea kabisa kama Iraq au Syria au Gaza au Libya..!!
Atapigika kwa sababu yeye silaha hana au?
 
Kichaa kapewa rungu,kesho unakuta trump kaamka kwa ayatollah
 
Ilikuwaje yule mtanzania akavaa chupi ya jeshi?
Kuñà kitu hakijasemwa kuhusu ile chupi.
Uskariri...nchi nying dunian wanaruhusu kuvaa full military outfit eg. China... USA etc kwa any civilian ispokuwa tuu n kwamba usfanye kosa lolote ukiwa umevaa combat.. kwahyooo mtu kuvaa chupi unayodai ni ya jeshi ingawa hatujui ulijuaje ilikuwa na nembo au rangi pekee...,!!??
 
M
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CIA, amesema kwamba anatarajia serikali ya Donald Trump, tofauti na Setikali ya Biden, itampa Netanyahu uhuru wote dhidi ya Iran, yaani Israel iamue wakati gani wa kuishambulia Iran, iishambulie Iran kwa namna gani, na ishambulie maeneo gani.

Ikumbukwe kuwa utawala wa Biden, ulifanya jitihada kubwa, kwanza kuizuia Israelilipize kisasi, uliposhindwa hilo, ukajitahidi sana kuizuia Israel isishambulie targets ambazo Israel ilipanga kushambulia. Kwenye hili utawala wa Biden ulifanikiwa, na hivyo kuondoa visima vya mafuta na kiwanda cha kurutubisha nuclear energy kwenye orodha ya targets za Israel.

Lakini kuingia kwa utawalawa Trump, unatazamiwa kuyaonfoa haya yote, na huenda kusababisha vita kamili kati ya Israel na Iran.

Source: The Guardian:

Donald Trump will as president give Benjamin Netanyahu a “blank check” in the Middle East, possibly opening the way for all-out war between Israel and Iran, the former CIA director and US defense secretary Leon Panetta predicted.
“With regards to the Middle East, I think he’s basically going to give Netanyahu a blank check,” Panetta said of Trump, who won the presidential election this week and will take office again in January.
“‘Whatever you do, whatever you want to do, whoever you want to go after, you have my blessing.’ I mean, he basically said that [before the election].”
Mada hizi zinaonyesha kabisa bila marekani Israel hakuna kitu.
Uzuri Iran hana mbwembwe ye anapiga vile vile utavokuja ..
 
Neno Assassin fatilia chimbuko lake ndio utajua hawa waajemi umwamba hawajaanza leo
 
Trump hana chakuifanya Iran, angekua nacho angeishambulia iliposhambulia kambi za USA huko Iraq huku yeye akiwa Madarakani.
Ndio nashangaa,uenda hawa hawafahamu kama trump alishakuwa Rais wa america na hakuifanya kitu iran
 
Back
Top Bottom