ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Mkuu America inaifaidi Africa kuliko Afrika inavyoifaidi America fikiri wanaleta vyandarua wanaondoka na tanzanite au dhahabu kutokana na upumbavu wa watawala wa kiafrika.Je sisi ni raia wa Marekani ?
Je tunalipa kodi au tozo Marekani?
Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ?
Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada.
Nadhani Africa tumepewa kila kitu labda Akili tu
Trump ni Rafiki mwema anatufundisha namna ya kujitegemea na kuachana na misaada yenye Masharti magumu .