Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Habari Jamiiforums members naomba mnisaidie kupata scholarships za nchi za Scandinavian mfano Norway, Sweden, na Denmark . Scholarships for undergraduate applicants.

Kwa courses mfano professional pilots in aviation, architectural engineering, electronics engineering, electrical engineering, aeronautics & astronautics engineering, aerospace engineering, telecommunications engineering. I'm looking forward to hearing from you. Thanks in advance
 
samahani naomba kuuliza hivi kuna scholarship za kwenye kusoma vyuo bora vya dunia kama oxford na harvard kwa ngazi ya diploma?
 

Mmmh 😕😕😕! Ni kweli mnatoa scholarships au mnasaidia watu kuomba scholarships?
 

Hizi aeronautical/aviation kwa undergraduate you need to forget.. you need to be very outstanding and passed ACSEE with flying colours ,to win, chances are 1 in 1000..and never sure 100% full scholarship.

Soma mechanical/telecom/electical/mechanical (related field ) in undergraduate. Then masters uje uombe aeronautical..easy to get. especially France (you need academic degree in this case/LMD system)
 
Thanks

 
vipi kuhusu utaratibu wa skolaship za korea ya kusini
 
Website ya tcu kuna matangazo matatu ya scholarship wadau,,ya chinese gvt na New zealand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…