Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Napataje scholarship wadau tukajifunze na kwa wenzetu
 
Tuendelee kusaidian konekisheni za ufadhili wa masomo..kuna kitu nataka kufahamu.

Je unaomba kwanza scholarship ndio unaomba programs ya kusoma ama unaanzaje.?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuendelee kusaidian konekisheni za ufadhili wa masomo..kuna kitu nataka kufahamu.

Je unaomba kwanza scholarship ndio unaomba programs ya kusoma ama unaanzaje.?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa zinatofautiana, kuna ambazo lazima uombe kwanza admission ili upate ila zipo ambazo n za moja kwa moja yaan admission na scholarship ni kitu kimoja, hii unaomba tu scholarship admission wanafanya wao. Nying zinataka huwe na admission kwanza hvyo ni muhimu kuwa nayo au kuna na uhakika nayo kabla ya kuomba
 
Habari zenu wakuuu..... Naomben msaada wenu, nimeplan mwakan 2022 niende nje kusoma masters nikifanikiwa kupata scholarship!! Nchi nazopendelea ni South Korea, China, India na Australia huku course iwe mambo ya environment, gender au social development!! Mwny ufaham samahan naomba anisaidie nijiande vp?? criteria?? Changamoto??? Na muda mzur wa kuanza application!!!
NB mm ni muajiriwa, vp kuna kipaumbele hapo???...... Msaada plz
 
Scholarship za Scandinavian please
Mimi naombeni mwenyewe konnection na wafadhili anisaidie nisomee hata humuhimu bongo maana ninateseka sana 0746804651 nimechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha dar es salaam.naomben mnisaidie
 

Attachments

Naombeni msaada kupata chuo chochote nachoweza kusoma degree ya kwanza ktk IT online ila nipate na ufadhili
 
Nina stashahada [diploma] ya "Clinical Officer".
Nahitaji kusoma shahada ya Physiotherapy.
Nahitaji kupata chuo na ufadhili wa kusoma kozi hii.
Naomba usaidizi/maelekezo kufikia lengo langu.
 
Hivi TOEFL certificate huwa ina expire?
 
POST GRADUATE DIPLOMA IN MASS COMMUNICATION
naulizia jamani Kama Kuna Mtu kaona scholarship za Post graduate diploma in mass communication or journalism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…