Ule uwanja wa ahsante rage kule mbweni umeishia wapi??KUNA TAARIFA MMEAANZA KUUZA VIPANDE VIPANDE.MSAADA PLS NAMI NAITAJI KIWANJA NAAMINI MTANIPA BEI YA MTANI SIKINIKOMOA..
sio tu chui mpwa alixikwa nduguzetu hawa wanaoporwa uhai mwz kila siku akiwa.mzima.mzimaMkuu Karibu 25*25 sa iv ni 3mil baada ya 5mil hapo awali tumeona tushushe maana watu wanaliogopa lile pori heti kuna Chui mle
Tunasubiri Bonanza la Mtani Jembe.
sawa wazee wakimataifa
Wamemuuza okwi na kumnunua mgosi yaani kama Liverpool walimuuza suarez na kumnunua baloteli.