Dondoo mbili tatu kuhusu Simba SC

Dondoo mbili tatu kuhusu Simba SC

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
1. Baada ya kumaliza mazoezi makali ya utimamu wa mwili (ni mara mbili ya yale ya JKT kwa wale wenzangu na mimi tuliopitia huko), Simba SC ilirejea Jijijini jumamosi. Ilipotua tu jijini ilielekea uwanjani kushuhudia Ndala akikarishwa na Gor Mahia.

Source: SIMBA SC WAHAMISHIA KAMBI YAO ZENJI | BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

2. 21/07/2015 kikosi cha maangamizi Simba Sc kiliekea Zanzibar kwa ajili ya kujifunza mbinu za uwanjani. Mfumo anaotumia "Mtalaamu" Kerr ni soka la kasi sana lililojaa pasi fupi fupi zenye macho, pia soka lake ni la kushambulia mwanzo mwisho, huku defence ikitengeneza ukuta kama ule wa China na si ule wa Berlin.. Hiyo ndio philosophy wanaoenda kufundishwa vijana wa Simba SC.

Source: SIMBA YAVUKA ZAKE ZENJI KWENDA KUANZA KAMBI - SALEH JEMBE

3. Simba Day ipo pale pale (08/08/2015).. Na siku hiyo kiingilio ni kadi yako ya uanachama, ambayo gharama yake ni 12,000 kwa mwaka.. Na mwaka huu tutacheza na wababe wa Gor Mahia, timu bora kabisa nchini Kenya kwa sasa AFC Leopards.. Hivyo huu mtanange utawakutanisha mafahari wawili katka ukanda huu wa CECAFA.. Hili mechi si yakukosa.

Source: Simba Day 2015: Simba kucheza la Leopards, kiingilio bure!

4. Mshambuliaji hatari sana kwa mabeki visiki Laudit Mavugo ambae yupo daraja 1 na Christiano Rinaldo na Messi (I mean first class attackers) ambao wote wana uiano wa kufunga goli moja au zaidi katika kila mechi wanayoingia uwanjani anatarajia kutua soon jijini baada ya kumalizia kuipatia kombe jingine Vital'0. Vital'0 waliomba Simba Sc imuachie Mavugo ashiriki nusu fainali na fainali za michuano inayoshiriki.

5. Kocha wa viungo na utimilifu wa mwili "Mtalaamu" Momcilovic amepanga kuwakomesha wavivu wa timu hiyo baada ya kusema wakati timu itakapokuwa inacheza mechi za kirafiki nyota wote wanaokuwa benchi watakuwa wakiendelea na mazoezi nje ya uwanja na hilo pia litafanyika wakati wa mechi za mashindano.

Source: Simba watua Zenji na mkakati wa kufa mtu - Soka

6. Yule mshambuliaji bora kabisa katika ukanda huu wa CECAFA, "Fundi" Emanuel Okwi, baada ya kufunga ndoa ya kihistoria nchini Uganda (ya kihistoria kwa sababu haijawahi tokea nchini humo) alifanikiwa kusajiliwa na timu Bora kabisa nchini Denmark iitwayo Sonderjyske Fodbold. Amesaini mkataba wa miaka 5 huku akipokea zaidi ya 20m kwa mwezi + marupurupu kibao. Simba SC imepokea zaidi ya 220m kutokana na usajili huo.
Source: KULE DENMARK OKWI SASA ANALAMBA SH MILIONI 20 KWA MWEZI, SAWA NA SAMATTA - SALEH JEMBE

7. Kama bado hujafanikiwa kupata kadi ya uanachama wa Simba Sc, nafasi ni yako sasa. Unaweza kujisajili sasa online kupitia link ninayoiambatanisha.

Source: Simba Sports Club | FOMU - Simba Sports Club

Kwa habari Moto Moto kuhusu Simba Sc, unaweza pitia website bora kabisa ukanda huu wa CECAFA ambayo ni: Simba Sports Club | Simba Sports Club
 
Nyie ndio mnaoua mpira wa bongo, misifa kibao performance kwenye ligi number 3!
 
Wewe wasema, Ila huo ndo ukweli.

Mkuu Sembo , mimi sina tawi nifanyeje make nlishawahi hata kumuuliza Meneja Ngaga alipokuwa na Timu Mwanza. nsaidie npate hiyo kadi. Nko Mwanza wilaya Misungwi
 
Huyo striker ni balaa nasikia kule Luleft alikuwa anatupia magoli kama Redondo
 
1. Baada ya kumaliza mazoezi makali ya utimamu wa mwili (ni mara mbili ya yale ya JKT kwa wale wenzangu na mimi tuliopitia huko), Simba SC ilirejea Jijijini jumamosi. Ilipotua tu jijini ilielekea uwanjani kushuhudia Ndala akikarishwa na Gor Mahia.

Source: SIMBA SC WAHAMISHIA KAMBI YAO ZENJI | BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

2. 21/07/2015 kikosi cha maangamizi Simba Sc kiliekea Zanzibar kwa ajili ya kujifunza mbinu za uwanjani. Mfumo anaotumia "Mtalaamu" Kerr ni soka la kasi sana lililojaa pasi fupi fupi zenye macho, pia soka lake ni la kushambulia mwanzo mwisho, huku defence ikitengeneza ukuta kama ule wa China na si ule wa Berlin.. Hiyo ndio philosophy wanaoenda kufundishwa vijana wa Simba SC.

Source: SIMBA YAVUKA ZAKE ZENJI KWENDA KUANZA KAMBI - SALEH JEMBE

3. Simba Day ipo pale pale (08/08/2015).. Na simpimeniyo kiingilio ni kadi yako ya uanachama, ambayo gharama yake ni 12,000 kwa mwaka.. Na mwaka huu tutacheza na wababe wa Gor Mahia, timu bora kabisa nchini Kenya kwa sasa AFC Leopards.. Hivyo huu mtanange utawakutanisha mafahari wawili katka ukanda huu wa CECAFA.. Hili mechi si yakukosa.

Source: Simba Day 2015: Simba kucheza la Leopards, kiingilio bure!

4. Mshambuliaji hatari sana kwa mabeki visiki Laudit Mavugo ambae yupo daraja 1 na Christiano Rinaldo na Messi (I mean first class attackers) ambao wote wana uiano wa kufunga goli moja au zaidi katika kila mechi wanayoingia uwanjani anatarajia kutua soon jijini baada ya kumalizia kuipatia kombe jingine Vital'0. Vital'0 waliomba Simba Sc imuachie Mavugo ashiriki nusu fainali na fainali za michuano inayoshiriki.

5. Kocha wa viungo na utimilifu wa mwili "Mtalaamu" Momcilovic amepanga kuwakomesha wavivu wa timu hiyo baada ya kusema wakati timu itakapokuwa inacheza mechi za kirafiki nyota wote wanaokuwa benchi watakuwa wakiendelea na mazoezi nje ya uwanja na hilo pia litafanyika wakati wa mechi za mashindano.

Source: Simba watua Zenji na mkakati wa kufa mtu - Soka

6. Yule mshambuliaji bora kabisa katika ukanda huu wa CECAFA, "Fundi" Emanuel Okwi, baada ya kufunga ndoa ya kihistoria nchini Uganda (ya kihistoria kwa sababu haijawahi tokea nchini humo) alifanikiwa kusajiliwa na timu Bora kabisa nchini Denmark iitwayo Sonderjyske Fodbold. Amesaini mkataba wa miaka 5 huku akipokea zaidi ya 20m kwa mwezi + marupurupu kibao. Simba SC imepokea zaidi ya 220m kutokana na usajili huo.
Source: KULE DENMARK OKWI SASA ANALAMBA SH MILIONI 20 KWA MWEZI, SAWA NA SAMATTA - SALEH JEMBE

7. Kama bado hujafanikiwa kupata kadi ya uanachama wa Simba Sc, nafasi ni yako sasa. Unaweza kujisajili sasa online kupitia link ninayoiambatanisha.

Source: Simba Sports Club | FOMU - Simba Sports Club

Kwa habari Moto Moto kuhusu Simba Sc, unaweza pitia website bora kabisa ukanda huu wa CECAFA ambayo ni: Simba Sports Club | Simba Sports Club
uuweunawasiliana na viongozi wako kablayakuja huku somamagazeti wanadai okwi anarudi kisa sa awajalipwa mil 220,,kamaajalipwa anarudije kwà mkopo..mnshawambia mpime damu huyowenyewe..kulenje akuna muhimbili yakuhonga...
 
Mkuu hizo habari sina.. Kama ni za kweli http://simbasports.co.tz/ itanijuza.
 
Huyo striker ni balaa nasikia kule Luleft alikuwa anatupia magoli kama Redondo

Mkuu Laudit Mavugo ni habari nyingine.. Naimani huyu mda si mrefu atakua EPL.
 
Hivi kule lushoto nani alichukua kombe?

Lushoto tulikwenda kwa ajili ya kufanya mazoezi ya utimilifu ya mwili ( kujenga physique ).. Sasa hivi tupo Unguja tukiimalizia kujifunza mbinu za uwanjani I mean soka la pasi fupi fupi za kasi, huku tukishambulia kama nyuki.. Kipindi hicho tunajenga Great Wall of China katika defence.
 
1. Baada ya kumaliza mazoezi makali ya utimamu wa mwili (ni mara mbili ya yale ya JKT kwa wale wenzangu na mimi tuliopitia huko), Simba SC ilirejea Jijijini jumamosi. Ilipotua tu jijini ilielekea uwanjani kushuhudia Ndala akikarishwa na Gor Mahia.

Source: SIMBA SC WAHAMISHIA KAMBI YAO ZENJI | BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

2. 21/07/2015 kikosi cha maangamizi Simba Sc kiliekea Zanzibar kwa ajili ya kujifunza mbinu za uwanjani. Mfumo anaotumia "Mtalaamu" Kerr ni soka la kasi sana lililojaa pasi fupi fupi zenye macho, pia soka lake ni la kushambulia mwanzo mwisho, huku defence ikitengeneza ukuta kama ule wa China na si ule wa Berlin.. Hiyo ndio philosophy wanaoenda kufundishwa vijana wa Simba SC.

Source: SIMBA YAVUKA ZAKE ZENJI KWENDA KUANZA KAMBI - SALEH JEMBE

3. Simba Day ipo pale pale (08/08/2015).. Na siku hiyo kiingilio ni kadi yako ya uanachama, ambayo gharama yake ni 12,000 kwa mwaka.. Na mwaka huu tutacheza na wababe wa Gor Mahia, timu bora kabisa nchini Kenya kwa sasa AFC Leopards.. Hivyo huu mtanange utawakutanisha mafahari wawili katka ukanda huu wa CECAFA.. Hili mechi si yakukosa.

Source: Simba Day 2015: Simba kucheza la Leopards, kiingilio bure!

4. Mshambuliaji hatari sana kwa mabeki visiki Laudit Mavugo ambae yupo daraja 1 na Christiano Rinaldo na Messi (I mean first class attackers) ambao wote wana uiano wa kufunga goli moja au zaidi katika kila mechi wanayoingia uwanjani anatarajia kutua soon jijini baada ya kumalizia kuipatia kombe jingine Vital'0. Vital'0 waliomba Simba Sc imuachie Mavugo ashiriki nusu fainali na fainali za michuano inayoshiriki.

5. Kocha wa viungo na utimilifu wa mwili "Mtalaamu" Momcilovic amepanga kuwakomesha wavivu wa timu hiyo baada ya kusema wakati timu itakapokuwa inacheza mechi za kirafiki nyota wote wanaokuwa benchi watakuwa wakiendelea na mazoezi nje ya uwanja na hilo pia litafanyika wakati wa mechi za mashindano.

Source: Simba watua Zenji na mkakati wa kufa mtu - Soka

6. Yule mshambuliaji bora kabisa katika ukanda huu wa CECAFA, "Fundi" Emanuel Okwi, baada ya kufunga ndoa ya kihistoria nchini Uganda (ya kihistoria kwa sababu haijawahi tokea nchini humo) alifanikiwa kusajiliwa na timu Bora kabisa nchini Denmark iitwayo Sonderjyske Fodbold. Amesaini mkataba wa miaka 5 huku akipokea zaidi ya 20m kwa mwezi + marupurupu kibao. Simba SC imepokea zaidi ya 220m kutokana na usajili huo.
Source: KULE DENMARK OKWI SASA ANALAMBA SH MILIONI 20 KWA MWEZI, SAWA NA SAMATTA - SALEH JEMBE

7. Kama bado hujafanikiwa kupata kadi ya uanachama wa Simba Sc, nafasi ni yako sasa. Unaweza kujisajili sasa online kupitia link ninayoiambatanisha.

Source: Simba Sports Club | FOMU - Simba Sports Club

Kwa habari Moto Moto kuhusu Simba Sc, unaweza pitia website bora kabisa ukanda huu wa CECAFA ambayo ni: Simba Sports Club | Simba Sports Club
Yanga 3 wao 0

Nb wamekosa penalty mbili
 
Attachments

  • DSC09907.jpg
    DSC09907.jpg
    29 KB · Views: 168
Back
Top Bottom