Dondoo za hatifungani za leo - 20yrs Bond 15.49%

Tuwekeze kwa gold value Wala sio hata iyo dollar yako pia huwa inashuka ingawa sio Kama tzs Ila bucks ,fiber ,lira,Aussie,loonie and kiwi zinashuka pia
The dollar is there to stay. Achana na hao wapiga ramli..sijui brics sijui vitu gani….uchumi wa US kuporomoka siyo leo wala Kesho. If you can….dollar is the most stable and reliable currency. Mengine yote ni professorial rubbish..in TL voice.
 
Lakini mkuu ata kwenye bond pesa inaongezeka hiyo 15% inaifanya pesa yako uliyoiweka isiwe ile ile ya mwaka 2004 itakuwa ni kubwa leo 2024
Watu mnaongea mambl mengi as if haizai
Kuweka kwenye bond ni tofauti na kusave bank
15% ndo riba unao pewa ila mwaka principle amount inabaki ile ile labda ukisema kwamba hiyo 15% uyuchukui sasa utakula nini kwa miaka 20 hiyo, tena kingine inflation rate ni kubwa mara nne ya riba unao lipwa, nimekupa mfano wanauli ya Ubungo miaka 20 ilio pita imeongezeka kwa 400% sio 15%
 
Kuna Mtanzania ambaye kipato chake kinaendana na inflation?
 
Hiyo 15.4% ndiyo ilikuwepo miaka yote, Ila mwaka juzi wakashusha hadi 12
Sijajua imerudi lini tena 15
Chief hii rate inaendana na umri wa uwekezaji, kuna 5,7,10 n.k kila miaka na rate yake usichanganye 12% ata sasa ipo ila kwa TBond za miaka michache nadhani ni 10 au 15 hvi au pungufu fuatilia kwenye tovuti ya BOT
 
Chief hii rate inaendana na umri wa uwekezaji, kuna 5,7,10 n.k kila miaka na rate yake usichanganye 12% ata sasa ipo ila kwa TBond za miaka michache nadhani ni 10 au 15 hvi au pungufu fuatilia kwenye tovuti ya BOT
Najua rate huwa kulingana na miaka ya uwekezaji, Ila mwaka juzi walishusha, hiyo ya miaka 20 ilishuka hadi 12%
 
Mfano U.K na U.S bonds wanatoa percent ipi interest per annum?
 
Kila mwaka?
 
Hiyo rate ni fixed, hata kutokee msala gani wewe utasimama na hiyo rate hadi siku ya ukomo wake.
 
Mkopo unarejesha kiasi fulani kwa kila mwezi, hivyo kama kwa mwezi bond inakuingizia milioni 1.5 then wao wataangalia unakopesheka kwa kiasi gani kutoka kwenye hiyo income yako ya mwezi.
 
Nyumba gani hiyo unayoweza kununua kiwanja na kujenga kwa milioni 100 tu, afu ikupe return ya 15m kwa mwaka, yaani sawa na almost 1.2M kwa mwezi, eti wajuzi wa mambo, nyumba ya 100m (Kiwanja na Ujenzi) inaweza leta kodi ya 1.2m kwa mwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…