Dondoo za masomo ya PhD UDSM

Dondoo za masomo ya PhD UDSM

Napenda kuwasapa salamu rafiki zangu.

Kama nilivyosema hapo juu kuhusu dondoo za masomo ya ngazi ya PHD katika chuo cha UDSM.

Nimekuwa nikipata ukakasi wa kwenda kusoma hapo kwa kushauri kwamba bora nikasome Ardhi University kuliko UDSM kwa sababu ya usumbufu.

Usumbufu wenyewe ni kwamba unaweza ukawa uko speed kuandika lakini ukawa unakwamishwa kwenye comments kutoka kwa supervisor na kujikuta unachelewa. Mfano, baadhi ya watu niliowauliza wanasema wamekuwa wakituma andiko lao kwa supervisor na kujikuta wanakaaa hata miezi bila kupata feedback na kubaki wanahang tuu.

Kitu kingine unaweza, ukapata comments kutoka kwa supervisor ila ukija kwenda kwa discussant unabadilishiwa muelekeo wa study yako, au unaweza kwenda kwenye study committee nako ukakutana na kadhia zake na kujikuta hata kama unabidii kwenye kufanya PHD yako lazima tu utachelewa kumaliza.

Nimesikia kuna walaka kwamba wale ambao watamaliza miaka yao ya masomo lakini bado hujagraduate basi utalipa ada nzima ambapo kwa kuchekecha akili yamkini supervisor au hao wanaopitia paper yako wanaweza kuwa ndio chanzo cha kukufanya usimalize kwa wakati. Lakini kama ni kwa uzembe wako mwenyewe unapaswa kufanya hivyo maana unakuwa mwenyewd umejichelewesha.

Nimeandika huu uzi ili niweze kupata ushauri maana nimepata chuo zaidi ya kimoja UDDM ikiwa ni kimoja wapo kusoma PHD.

Naombeni dondoo zenu mliopitia au mnaosoma hapo wapendwa.

Ahsanteni.
PhD kasomee nje ya nchi au vyuo vya ngasi za Kimataifa vilivyopo Tanzania. Nenda ESAMI, Arusha kama utashindwa kwenda nje ya nchi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila we jamaa sasa starehe za watu zina uhusiano gani na elimu?

Everyone has his/her own idea of pleasure. Mwingine ni mwanaume lakini raha yake ni kukandwa yeye kukanda haenjoy [emoji23] ...acha wasomi waliwe bwana
Nimechekaa had baas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
PhD kasomee nje ya nchi au vyuo vya ngasi za Kimataifa vilivyopo Tanzania. Nenda ESAMI, Arusha kama utashindwa kwenda nje ya nchi
lazima tuwe na data za kule kuwa hawasumbui kama vyuo vya pakstani tofauti na hapo ni majanga tu kama unauwezo wa kulipa 16M kwa nn ushindwe kwenda nje ya nchi na hiyo hela inabaki
 
Napenda kuwasapa salamu rafiki zangu.

Kama nilivyosema hapo juu kuhusu dondoo za masomo ya ngazi ya PHD katika chuo cha UDSM.

Nimekuwa nikipata ukakasi wa kwenda kusoma hapo kwa kushauri kwamba bora nikasome Ardhi University kuliko UDSM kwa sababu ya usumbufu.

Usumbufu wenyewe ni kwamba unaweza ukawa uko speed kuandika lakini ukawa unakwamishwa kwenye comments kutoka kwa supervisor na kujikuta unachelewa. Mfano, baadhi ya watu niliowauliza wanasema wamekuwa wakituma andiko lao kwa supervisor na kujikuta wanakaaa hata miezi bila kupata feedback na kubaki wanahang tuu.

Kitu kingine unaweza, ukapata comments kutoka kwa supervisor ila ukija kwenda kwa discussant unabadilishiwa muelekeo wa study yako, au unaweza kwenda kwenye study committee nako ukakutana na kadhia zake na kujikuta hata kama unabidii kwenye kufanya PHD yako lazima tu utachelewa kumaliza.

Nimesikia kuna walaka kwamba wale ambao watamaliza miaka yao ya masomo lakini bado hujagraduate basi utalipa ada nzima ambapo kwa kuchekecha akili yamkini supervisor au hao wanaopitia paper yako wanaweza kuwa ndio chanzo cha kukufanya usimalize kwa wakati. Lakini kama ni kwa uzembe wako mwenyewe unapaswa kufanya hivyo maana unakuwa mwenyewd umejichelewesha.

Nimeandika huu uzi ili niweze kupata ushauri maana nimepata chuo zaidi ya kimoja UDDM ikiwa ni kimoja wapo kusoma PHD.

Naombeni dondoo zenu mliopitia au mnaosoma hapo wapendwa.

Ahsanteni.
Kusoma PhD UDSM ni kujichelewesha tu mkuu. Unaweza utumie miaka 10 badala ya miaka 4 kupata PhD. Supervisors wa UDSM hawako makini na hawana haraka. Nenda kasome SUA utakuja kunishukuru mkuu.
 
Kusoma PhD UDSM ni kujichelewesha tu mkuu. Unaweza utumie miaka 6 badala ya miezi 18 kupata PhD. Supervisors wa UDSM hawako makini na hawana haraka. Nenda kasome SUA utakuja kunishukuru mkuu.
We MSUASO unamchochea mwenzako wakamle kichwa sio? Huyo atapata PhD ya chupi kwa maana kama JF tu anaomba apigwe Pumbu na wanaume wenzake je pale SUA si ndio watamtoa upuru nje kabisa ili apate PhD? 😀😀😀😀
 
Shida ipo kulilia kubusubusu na kuomba apigwe pumbu huko PM. Bora ule pesa ya yatima kuliko kutifuliwa mtaro huku umesoma. Au nawe ndio wale wale, unapigwa pipe?😀😀😀😀😀
Komando muuza madafu...

Nianze kwa kucheka kwanza jina lako linachekesha sana..

😂😂😂😂

Kingine, mstiri mwenzako ndugu komando! Ni vizuri ungemfuata PM.

Kwa sasa msaidie kimawazo dondoo za kusoma PhD.
 
Hasaidiwi mpaka aache kuja PM kulilia dudu. Sasa kabadili ID tola mabusu kwangu lengo lilikuwa abusu mshendete na sasa anajiita rafiki mwema.
 
Kusoma PhD UDSM ni kujichelewesha tu mkuu. Unaweza utumie miaka 10 badala ya miaka 4 kupata PhD. Supervisors wa UDSM hawako makini na hawana haraka. Nenda kasome SUA utakuja kunishukuru mkuu.
Nakuelewa kuna dada yangu lasoma hapo wala hajakawia kwa kweli, ahsante kwa ushauri
 
Sua wanasumbua sanaa, bora UDOM, nina ndugu yangu kasoma Master utadhani anasoma PHD ya miaka mitano, supervisor anamwambia hivi akirekebisha anaenda anabadilsha eti nilikuambia hv, yaan kuna siku ndio nilichoka alimwambia nasafiri nikirudi tutadiscuss, sasa ww umsubiri mtu na kazini umepewa likizo ya masomo sasa si ujinga huu, nawashauri watu ni bora ukaangalia chuo cha kusoma ambacho hakitakupa stress
OUT
 
Mie hii kitu sio kipaji changu kabisa. Nimeamua nifanye mambo mengine tu, shule niwaachie wenye vipaji.
Mkuu uko km Mimi, mm ni mvivu sana kusoma yaani hata degree sijui niliipateje.... Mtu akitaka nisome labda awe ananilipa mshahara kila siku, nikitoka lecture ni mbususu tu na pombe nijipooze machungu baada ya kufanya jambo nisilolipenda...
 
Back
Top Bottom