Dondosha mstari wowote wa Biblia unaoupenda leo ni Ijumaa

1 Tim 4:12 SUV​

Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi.

Lk 2:52 SUV​

Naye Yesu akazidi kuendelea katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu.

Efe 6:11-18​

Efe 6:11-18 SUV​

Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama.

Basi simameni, hali mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa dirii ya haki kifuani, na kufungiwa miguu utayari tupatao kwa Injili ya amani; zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu.

Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu; kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote?

Haya wana wa Mungu twendeni kazi
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
Safi sana
 
👇🏻👇🏻👇🏻
Mithali 15:14, Moyo wa furaha hung'arisha uso lakini uchungu huvunja moyo.
 
Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu; kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote.

Mit 8:17 SUV​

Nawapenda wale wanipendao, Na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.
=======================
Haya wana wa Mungu twendeni kazi
👇🏻👇🏻👇🏻
Zaburi 53:1

Mpumbavu husema hakuna Mungu
 
Zaburi 125
1 Kama milima inavyoizunguka Jerusalem ndivyo Bwana anavyowazunguka watu wake na kuwaokoa.
2 Wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni hawatotikisika milele daima.
 
Zaburi 35 na 91 yote.

Waebrania 9:22

Yohana 12:11

Esta 2:17

Zaburi 105

Mathayo 20:30

Mithali yote.

Ijumaa kareem.
 
Back
Top Bottom