EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #41
Edit "mpumbavu husema MOYONI......"Zaburi 53:1
Mpumbavu husema hakuna Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Edit "mpumbavu husema MOYONI......"Zaburi 53:1
Mpumbavu husema hakuna Mungu
Rudi njiani wapo kibao wajuao 🤣🤣🤣🤣Ha ha huko utaona vituko aya hazieleweki
Akapingana na MshuaKisa cha yona kukataa kwenda Ninawi 🤣🤣 ile neema ya Mungu ilikuwa juu ya Ninawi
Dah haya mambo yalishatabiriwa kumbeWarumi 1
26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
Ndiyo hayo ya polisi wa zenji tunayashuhudia
Akajifanya anagoma baada ya kutemwa na Samaki, Yona alikua chizi sana ujue 😅😅😅Akapingana na Mshua
Asante mkuuZaburi 35 na 91 yote.
Waebrania 9:22
Yohana 12:11
Esta 2:17
Zaburi 105
Mathayo 20:30
Mithali yote.
Ijumaa kareem.
Nakazia😇😇1Wakoritho 6:9 “Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala WAFIRAJI, WALA WALAWITI,
Niliko-bold,neno hili lituongoze hasa week hii ambayo imejaa mada zihusuzo UFIRAJI/RWAJI na kuonekana kuna baadhi ya member wanaushangilia mchezo huo.
Nilikuwa natafuta huu mstari Kuna mtu hapa jukwaani niliquote kuwa wafuraji hawatauona ufalme wa Mungu basi alinichallange nimpe evidence, thanks for sharing this Golden verse neno la Mungu ni kinywa Cha Mungu1Wakoritho 6:9 “Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala WAFIRAJI, WALA WALAWITI,
Niliko-bold,neno hili lituongoze hasa week hii ambayo imejaa mada zihusuzo UFIRAJI/RWAJI na kuonekana kuna baadhi ya member wanaushangilia mchezo huo.
Kwenye hicho kitabu Ujumbe huo umerudiwa kama mara mbili hivi au zaidi.Wimbo Ulio Bora 2:7
Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe.
Hii ni Kweli kabisa.Mithali 6:26
Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
For by means of a whorish woman a man is brought to a piece of bread: and the adulteress will hunt for the precious life.
MsisitizoKwenye hicho kitabu Ujumbe huo umerudiwa kama mara tatu hivi au zaidi.
MHU. :1:9Dah haya mambo yalishatabiriwa kumbe
Ili awatue kiberiti 😅😅😅28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.