DONGE NONO kutolewa kwa atakae fanikisha kupatikana kwa Mbwa HUYU


Rottweiler?
 
Kama ni dume ukimpata umuhasi(castrate),hawa wengi sana wanaponzwa na michepuko,anaweza akahama mji kama sio mtaa bila ya kujali anakoelekea,akishamaliza zoezi ndio akili inamkaa vizuri,wakati huo hata ramani ya kurudia imeshafuta kichwani...
 
watu mna imani za hovyo,ina maana we hujui kama harufu husafiri kwa upepo? Siku nyingine kabla mishikaki haijakufikia utasikia harufu kwanza.
Wewe ndio mwenye akili za hovyo kuona mitazamo ya wengine ni ya hovyo.
Kwamba vimishikaki vile tu ndio harufu hutembea na upepo
Mingine harufu iko pale pale
 
wengi hawamjui ni aina gani ya mbwa mm niwasaidie uyo hujulikana kama
GREAT DANE ni mbwa ambao hua na miili mikubwa usawa wa Ndama kabisaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…