Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Huyu ni mbwa mkubwa, hawezi potea just like that....atakuwa kaibwa tu. Ngoja tukutafutie huku mitaani kwetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mbwa mkubwa, hawezi potea just like that....atakuwa kaibwa tu. Ngoja tukutafutie huku mitaani kwetu.
nje ya mada, hizi pics za 113w insta ni zako eehUmefikia wapi boss
😅😅😅🤣🤣🤣🤣akija na kilema sasa milioni itakatwa 😅😅😄
ooh vizuriNimecheka loh.....Nani mwingine zaidi ya mimi muuza urembo wa nyumbani 😂😂dollrubii_decors
Napambana hapaUmefikia wapi boss
🤣🤣...Huyo tayari kashawekwa kwenye vimishkaki vya jioni vile vya mia tano miatano😔
Kama si uzembe huo🤣🤣...
Kwanza mbwa anapoteaje!!..
Kabisa..Kama si uzembe huo
Mbwa ananusa na kuwa na kumbukumbu mara kumi ya binadamu...WAnapotea watu wazima na degree zao itakua mbwa kweli jamani???
Hivi ni kweli watu wanauza nyama ya mbwa?
Tangazo limetoa ofa ya 1m/-. Robo kilo ya utumbo bei gani kwani?Mmeshaonywa ya kwamba msifuge hawa Mbwa kama uwezo wako ni robo kilo ya nyama kwa siku...