mtotowamamanjungu
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 351
- 273
La makambakoNgoma kali sana arif... Hivi hili Darasa la Arusha ee?
Poa ngoja niusifie, hili ni boooooooooooooonge la ngoma lazima Mapromota wataanza kumtafuta ili akapige shoo nje.Acha wivu haujengi umenikera sana leo nyimbo nzuri,kama,hii,af kazi kuponda,tu
Naujua sana.Kumbe hata wewe u-hater unaujua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itafikia hatua mtasema neno diamond likitamkwa popote litakuwa linamuhusu ndomo tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
255 champion niite Mbwana Samatta[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]Kajiandae kiba x Bella
Nisamehe kiba xbaraka
Kokoro mavoko xdangote
Salome dangote x raymond
Zoooooooooote zimezimwaaaa ....mitaa inamsikiliza darasa......uwiiiiiii weka muziki
Acha maneno weka [HASHTAG]#Muziki[/HASHTAG]Umeonaeeeee.....una akili sana we jamaaa
Noma noma nomaaaaaaaaaa.hatuna team Ila tunashinda.uwiiiiiiiiiii255 champion niite Mbwana Samatta[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Sinzia na fegi uchome kibanda
[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Vituu vingine havitagi ujuaji[emoji441]
Utajikuta unatandikia watu jamvi[emoji441]
Bonge moja la ngoma kwa watu tulio free na team zao
Haya mapovu yanayowatoka hapa tayari huo ni ushindi mkubwa sana.Hapo kwenye red ndio nimepapenda zaidi na sidhani kama Darasa na wasanii wengine wanalijua hilo...Mtu anaingia kwenye vita lakini ukimtazama unaona kabisa hana ubavu wala pumzi na hachukui dakika anashindwa..
Mimi pia ni mmoja wa mashabiki wa Darasa napenda sana muziki wake na anavyo imba na mwanzo nilimuona ni mtu asiyependa makuu lakini nilishangaa kusikia wimbo wake huo kujaa majungu kiasi kile lakini nilimkumbuka kuwa ukitaka kuona hasira za mlevi mwaga pombe yake.....Bila shaka ni kweli Darasa maneno yamemtoka baada ya kile anacho kipenda kuguswa...
Najua Darasa nae anajaribu kufanya ya Dimpoz lakini sijui kama kajiandaa kwa matokeo,....
Kwanza mimi Darasa namuonea huruma na nisingependa ajiingize kwenye migogoro na mashabiki wa wasanii fulani fulani maana naamini yeye ana share mashabiki na wasanii fulani fulani.
Nilipo usikia huo wimbo wa Darasa kwakweli akili na kichwa kiliniambia hii ni beat ya wimbo fualni sikujua wimbo gani lakini Mungu si Athumani jumamosi nasikiliza EA radio mida ya saa sita mtangazajia(queen fifi) akasema sikilizeni wimbo huu halafu msiseme kitu...kwakweli ulipigwa wimbo ule beat ni hii hii ya Darasa mpaka melody sasa bahati mbaya siki kariri jina la wimbo.
Bado nikajiuliza huyu aliyecopy beat ndio anarusha vijembe hivi mashabiki wa huyo msanii wakiamua kuanza kuusakama wimbo wake kuwa ni copy kweli ataweza kuhimili vishindo? Nikataka kuanzisha thread kuhoji kuhusu huo wimbo lakini roho ikasema utamuharibia muache tuu..
Bado najiuliza kama wewe ikiwa kweli Darasa kajiandaa kweli kuingia vitani.
Utakuwa una mimba changa wala siyo bure.Mbona wimbo mbovuu...... takeu si takeu. wala siuelewi..
Mkuu mambo ya beat kufanana na beat nyingine hiyo sio kesi ya Darassa utamuonea bure.Hapo kwenye red ndio nimepapenda zaidi na sidhani kama Darasa na wasanii wengine wanalijua hilo...Mtu anaingia kwenye vita lakini ukimtazama unaona kabisa hana ubavu wala pumzi na hachukui dakika anashindwa..
Mimi pia ni mmoja wa mashabiki wa Darasa napenda sana muziki wake na anavyo imba na mwanzo nilimuona ni mtu asiyependa makuu lakini nilishangaa kusikia wimbo wake huo kujaa majungu kiasi kile lakini nilimkumbuka kuwa ukitaka kuona hasira za mlevi mwaga pombe yake.....Bila shaka ni kweli Darasa maneno yamemtoka baada ya kile anacho kipenda kuguswa...
Najua Darasa nae anajaribu kufanya ya Dimpoz lakini sijui kama kajiandaa kwa matokeo,....
Kwanza mimi Darasa namuonea huruma na nisingependa ajiingize kwenye migogoro na mashabiki wa wasanii fulani fulani maana naamini yeye ana share mashabiki na wasanii fulani fulani.
Nilipo usikia huo wimbo wa Darasa kwakweli akili na kichwa kiliniambia hii ni beat ya wimbo fualni sikujua wimbo gani lakini Mungu si Athumani jumamosi nasikiliza EA radio mida ya saa sita mtangazajia(queen fifi) akasema sikilizeni wimbo huu halafu msiseme kitu...kwakweli ulipigwa wimbo ule beat ni hii hii ya Darasa mpaka melody sasa bahati mbaya siki kariri jina la wimbo.
Bado nikajiuliza huyu aliyecopy beat ndio anarusha vijembe hivi mashabiki wa huyo msanii wakiamua kuanza kuusakama wimbo wake kuwa ni copy kweli ataweza kuhimili vishindo? Nikataka kuanzisha thread kuhoji kuhusu huo wimbo lakini roho ikasema utamuharibia muache tuu..
Bado najiuliza kama wewe ikiwa kweli Darasa kajiandaa kweli kuingia vitani.
Mkuu hisia zako umezipeleka mbali mno.Wanamuziki wetu wengi wana Talanta, lakini wanakosa kitu muhimu sana kinaitwa strategies.. Kwasasa industry nzima imekariri kuwa ukitaka kiki basi uwadiss WCB.. Ni kweli utaongelewa ila ni poor strategy
First time nimesikia huu wimbo nilisikia huo mstari na nikajua tu nini kinatafutwa na nikasikitishwa sana na darasa..
Nitoe mfano; hakuna shabiki ambaye anashabikia msanii mmoja pekee.. Kwa mfano mimi shabiki mkubwa wa muziki wa WCB lakini pia ni shabiki wa Darasa toka enzi zile..
Sasa; muziki ni hisia na huwezi kupenda mziki wa mtu ambaye roho yako haina amani naye! Sasa inapotokea msanii akafanya upuuzi wa kuanzisha chokochoko na msanii mwingine unayemshabikia lazima hisia zako kama mshabiki zitachagua side.. Ndio kusema kwa mfano kwa ishu hii shabiki The Bold lazima ushabiki wake kwa darasa utapungua na kubakia kuwa shabiki wa WCB! Sasa darasa ajiulize anapoteza mashabiki wangapi kwa mtindo huu..
Nitoe mfano mwingine; juzi kati fiesta ilivyokuja Moro nikapata 'shavu' fulani hivi katika maandalizi yake and kwa wiki nzima ile nikajikuta nasikiliza sana clouds fm tofauti na kawaida yangu.. Nakumbuka kuna siku Darasa alikuwa anahojiwa na Diva, akaulizwa unazungumziaje mziki wa singeli na man fongo? Akajibu simjui man fongo... Diva na mbwembwe zake zile akahamaki "ooooohh my gooorsh kwahiyo hujawahi kusikia Hainaga ushemeji?? Unasikikizaga nini sasa kwenye redio??" Akajibu sisikilizi mziki wowote zaidi ya mziki wangu..!!!!
Doooohh nikasema ndugu yetu sifa zishamzidi, nayeye anajiona 'tembo' sasa..
Ila nikapotezea mpaka sasa ndio nakumbuka yale majibu yake yanareflect vipi personality yake ya sasa..
Ninachojaribu kusema ni nini??
Kuna kitabu mashuhuri sana cha Jemedari wa kivita Bwana Sun Tzu (ART OF WAR) na kuna kanuni moja anazungumzia kuwa "dont fight unnecessary wars".. Vita yoyote ina gharama! Kwahiyo kabla ujaanzisha/ujaingia kwenye vita yoyote kwanza fanya tathimini faida na hasara ya vita hiyo.. Je gharama utakayoitumia kupigana vita hiyo inaendana na manufaa utakayoyapata???
Sasa wabongofleva wao wanajua kuanzisha vita tu bila kutathimini gharama za vita hizo na faida gani watapata! Wao wamekariri tu "nitapata kiki"
Hiki ndicho kimemgharimu Dimpoz.. Alianzisha vita bila kufanya tathimini,
Yeye alipagawishwa tu "nitapata kiki" bila kujua gharama ya vita anayoianzisha..
Hakujua mashabiki wake wengi ndio hao hao mashabiki wa WCB na ulipofika muda wa kuchagua kuwekeza hisia zao za muziki kati ya dimpoz na WCB asilimia kubwa wakachagua kuwekeza hisia WCB.!!
Hapa ndipo ninaposema wasanii wetu wengi wana talanta lakini hawana Strategies.. Hata wakiweka strategies wanaweka poor strategies.. Ndio maana sijawahi kujutia kuwaunga mkono WCB, wana mikakati mwanana, muziki mwanana, washauri vichwa na hata wakiamua kuanzisha vita, wanaanzisha vita ambayo wana uhakika hawawezi kushindwa..
The Bold.
Yaani hii misukule ya Madale toka baba yao Dimpozi hatoe siri za kununua viewer wamekuwa kama wamechanganyikiwa kila mtu kwao mbaya.Itafikia hatua mtasema neno diamond likitamkwa popote litakuwa linamuhusu ndomo tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo ndio Hip Hop mkuu...ni mziki wa majigambo na majisifu.Ngoma kali sana, sema kuna baadhi ya mistari mimi mwenyewe naitilia shaka inawezekana katupa jiwe gizani