Dongo lililojificha kwenda kwa wanaojiita Simba

Mbona ni mwendelezo wa mipasho na uchokonozi kwa style ya kughani?
 
Mkuu hii barua kwenye gazeti ndo mahala pake siyo jf
 
Huu wimbo haujamlenga mtu bana sema tu ndo hivyo timu kujistukia. Ila kiukweli wimbo wa Darasa ndo wimbo wa mwaka, big up kwake
 
Unataka kukimbia na hauna break what do you expect...... Daah mshikaj noma sana
 
Darassa Nae Kaanza Muziki Wa Majungu Beat Yenyewe Kakopi Vionjo Wa Salome Pamoja Na Baadhi Ya Mashairi. Mimi Nimshauri Afikiri Tu Kiki Za Kudiss Ni Ujinga, Atatumiwa Sana Kina Mchomvu Ili Awatengezee Pesa Kwenye Vitamasha Uchwara Vya Vya Afro Skuli Bash.
 
Nikweli Salome juu ya kaburi lake Dully Sykes analia.Mkae kwa kutulia.
 
Biti halina mbwembwe nikiskiliza kwa sub woofer yang najua wale vijana wa kwenye dance floor wananehemeka vilivyo na huu mdundo
Safi sana darassa
Safi Tz tunathubutu sasa kufanya muziki mzuri nje ya Timu za mchangani
Much appreciation King Darasa A.K.A shule[emoji109] [emoji109]
 
Pumba[emoji189] [emoji239]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…