unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Kwa.kujishtukia tu hamjambo hahahaha wazee wa povuBila kiki ya wasafi huwezi jadiliwa JF Go chibu goooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa.kujishtukia tu hamjambo hahahaha wazee wa povuBila kiki ya wasafi huwezi jadiliwa JF Go chibu goooooo
Wasafi ndio wakina nani?Darasa Nae kaingia kwenye mzik wamasimango.
Nayeye anaanza kuamini bila kuwadisi wasafi haupati kiki.
Wangekuwa wanaanzisha vita wasiyoshindwa mbona kwenye views povu lilitoka balaaa macho kodooo kwa mic hhahaahahha. Wazee wa viewsWanamuziki wetu wengi wana Talanta, lakini wanakosa kitu muhimu sana kinaitwa strategies.. Kwasasa industry nzima imekariri kuwa ukitaka kiki basi uwadiss WCB.. Ni kweli utaongelewa ila ni poor strategy
First time nimesikia huu wimbo nilisikia huo mstari na nikajua tu nini kinatafutwa na nikasikitishwa sana na darasa..
Nitoe mfano; hakuna shabiki ambaye anashabikia msanii mmoja pekee.. Kwa mfano mimi shabiki mkubwa wa muziki wa WCB lakini pia ni shabiki wa Darasa toka enzi zile..
Sasa; muziki ni hisia na huwezi kupenda mziki wa mtu ambaye roho yako haina amani naye! Sasa inapotokea msanii akafanya upuuzi wa kuanzisha chokochoko na msanii mwingine unayemshabikia lazima hisia zako kama mshabiki zitachagua side.. Ndio kusema kwa mfano kwa ishu hii shabiki The Bold lazima ushabiki wake kwa darasa utapungua na kubakia kuwa shabiki wa WCB! Sasa darasa ajiulize anapoteza mashabiki wangapi kwa mtindo huu..
Nitoe mfano mwingine; juzi kati fiesta ilivyokuja Moro nikapata 'shavu' fulani hivi katika maandalizi yake and kwa wiki nzima ile nikajikuta nasikiliza sana clouds fm tofauti na kawaida yangu.. Nakumbuka kuna siku Darasa alikuwa anahojiwa na Diva, akaulizwa unazungumziaje mziki wa singeli na man fongo? Akajibu simjui man fongo... Diva na mbwembwe zake zile akahamaki "ooooohh my gooorsh kwahiyo hujawahi kusikia Hainaga ushemeji?? Unasikikizaga nini sasa kwenye redio??" Akajibu sisikilizi mziki wowote zaidi ya mziki wangu..!!!!
Doooohh nikasema ndugu yetu sifa zishamzidi, nayeye anajiona 'tembo' sasa..
Ila nikapotezea mpaka sasa ndio nakumbuka yale majibu yake yanareflect vipi personality yake ya sasa..
Ninachojaribu kusema ni nini??
Kuna kitabu mashuhuri sana cha Jemedari wa kivita Bwana Sun Tzu (ART OF WAR) na kuna kanuni moja anazungumzia kuwa "dont fight unnecessary wars".. Vita yoyote ina gharama! Kwahiyo kabla ujaanzisha/ujaingia kwenye vita yoyote kwanza fanya tathimini faida na hasara ya vita hiyo.. Je gharama utakayoitumia kupigana vita hiyo inaendana na manufaa utakayoyapata???
Sasa wabongofleva wao wanajua kuanzisha vita tu bila kutathimini gharama za vita hizo na faida gani watapata! Wao wamekariri tu "nitapata kiki"
Hiki ndicho kimemgharimu Dimpoz.. Alianzisha vita bila kufanya tathimini,
Yeye alipagawishwa tu "nitapata kiki" bila kujua gharama ya vita anayoianzisha..
Hakujua mashabiki wake wengi ndio hao hao mashabiki wa WCB na ulipofika muda wa kuchagua kuwekeza hisia zao za muziki kati ya dimpoz na WCB asilimia kubwa wakachagua kuwekeza hisia WCB.!!
Hapa ndipo ninaposema wasanii wetu wengi wana talanta lakini hawana Strategies.. Hata wakiweka strategies wanaweka poor strategies.. Ndio maana sijawahi kujutia kuwaunga mkono WCB, wana mikakati mwanana, muziki mwanana, washauri vichwa na hata wakiamua kuanzisha vita, wanaanzisha vita ambayo wana uhakika hawawezi kushindwa..
The Bold.
Naomba kununua viewsIli uwe star lazma uwadis wasaf
Kabisaaaaaadarasa kasema kweli tupu huwezi kujiita simba huku umetoboa pua
Acheni porojo ninyi ni wapi ktk hio nyimbo kamsema mtu mbona hamsemi ametaja mara ngapi 'tunachambua kama karanga' Tz shida majungu sana.Hapo kwenye red ndio nimepapenda zaidi na sidhani kama Darasa na wasanii wengine wanalijua hilo...Mtu anaingia kwenye vita lakini ukimtazama unaona kabisa hana ubavu wala pumzi na hachukui dakika anashindwa..
Mimi pia ni mmoja wa mashabiki wa Darasa napenda sana muziki wake na anavyo imba na mwanzo nilimuona ni mtu asiyependa makuu lakini nilishangaa kusikia wimbo wake huo kujaa majungu kiasi kile lakini nilimkumbuka kuwa ukitaka kuona hasira za mlevi mwaga pombe yake.....Bila shaka ni kweli Darasa maneno yamemtoka baada ya kile anacho kipenda kuguswa...
Najua Darasa nae anajaribu kufanya ya Dimpoz lakini sijui kama kajiandaa kwa matokeo,....
Kwanza mimi Darasa namuonea huruma na nisingependa ajiingize kwenye migogoro na mashabiki wa wasanii fulani fulani maana naamini yeye ana share mashabiki na wasanii fulani fulani.
Nilipo usikia huo wimbo wa Darasa kwakweli akili na kichwa kiliniambia hii ni beat ya wimbo fualni sikujua wimbo gani lakini Mungu si Athumani jumamosi nasikiliza EA radio mida ya saa sita mtangazajia(queen fifi) akasema sikilizeni wimbo huu halafu msiseme kitu...kwakweli ulipigwa wimbo ule beat ni hii hii ya Darasa mpaka melody sasa bahati mbaya siki kariri jina la wimbo.
Bado nikajiuliza huyu aliyecopy beat ndio anarusha vijembe hivi mashabiki wa huyo msanii wakiamua kuanza kuusakama wimbo wake kuwa ni copy kweli ataweza kuhimili vishindo? Nikataka kuanzisha thread kuhoji kuhusu huo wimbo lakini roho ikasema utamuharibia muache tuu..
Bado najiuliza kama wewe ikiwa kweli Darasa kajiandaa kweli kuingia vitani.
Acha wivu haujengi umenikera sana leo nyimbo nzuri,kama,hii,af kazi kuponda,tuWimbo m'baya,akajipange upya.
Aisee Dimpoz kaharibu kavujisha mchongo wa viewers kila mtu sasa amejua hii siri [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu tuangalie tofauti ya wanaonunua views na wale wasio nunua;Wangekuwa wanaanzisha vita wasiyoshindwa mbona kwenye views povu lilitoka balaaa macho kodooo kwa mic hhahaahahha. Wazee wa views
Itaje hiyo nyimbo basbeat na melody ya huu wimbo ni copy ya wimbo fulani....
SaaaanaKaweka heshima!
Blaa blaa sitaki kusikiaWimbo m'baya,akajipange upya.
Mapovu ya nn....huo ndio ukweli darasa kateka media na muzikiin your dream
Mwambie boss wenu anyoe mavuz Yale ya kwenye kinenaBila kiki ya wasafi huwezi jadiliwa JF Go chibu goooooo
astaravestaItaje hiyo nyimbo bas
Mkuu ww ndio umeongea point......mm naona darasa hajamlenga mtu yoyote hio ni mistari tu ya hiphop kama mistari mingine so hao wenye team zao watulize mishonoMi nafikiri wote mnahangaishwa na hisia ambazo ni tofauti na lengo la mwenye wimbo. Nimesikiliza wimbo huo mara kadhaa, hakuna mstari wowote katika wimbo huo unaobeza kikundi fulani cha watu.
Sikiliza wimbo na kielewe kile kilichotajwa au kumaanishwa na msanii mwenyewe na si kutafuta maana nyingine zisizo kuwa na msingi.
Kaimba nani?astaravesta
Wimbo m'baya,akajipange upya.
Bila kiki ya wasafi huwezi jadiliwa JF Go chibu goooooo
beat na melody ya huu wimbo ni copy ya wimbo fulani....
Nani Kaproduce huu Wimbo?
darasa kasema kweli tupu huwezi kujiita simba huku umetoboa pua
Aisee Dimpoz kaharibu kavujisha mchongo wa viewers kila mtu sasa amejua hii siri [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa.kujishtukia tu hamjambo hahahaha wazee wa povu
Wakuu, hata mimi uhater najua sana sema basi tu sitaki..Itaje hiyo nyimbo bas