Donnie Yen hazeeki

Hiyo 28 ya Kanumba uliiona midogo au mingi
 
Ushamuangalia rambo (sylivester stallone)?

Kuna series moja ilitoka mwishon mwa mwaka jana inaitwa Tulsa King, yule jamaa nae anazeeka vizuri sana. Wenzetu mazoezi yanawasaidia sana, huku mazoezi ni nadra mno
 
Kando ya Bruce lee mtu anayeheshimika zaid kwenye martial art ni Jackie Chan , ana pesa chafu huyo mwamba , Donie Yen hamkuti Jackie Chan hata nusu, na jackie Chan kaanza kujulikana akiwa na miaka 17 tuu , nafkri Golden harvest ndo wamemtumia sana chini ya Raymond Chow ambaye ndo alim-spot kwa Bruce lee
 
Picha ya nchi, nadhani walikua wanaandaa movie inaitwa MALANG.. bongo ya movie nayoikubali zaidi
 
kuna yule nwamba wakuitwa Chuck Norris ameanza kujulikana tayari ni mzee, sijui nowadays atakuwa kidingi kiasi gani aisee
Kama Morgan Freeman tuu tunaanza kumuona tayari ana mambo ka Lowasa hahaaaaa......
Chuck Norris anatembelea wheel chair itakuwa maana Delta Force mule alikuwa mzeee....
Ila juzi nimecheki movie moja hivi nimeona jina lake kama editor au director sema movie ilikuwa ya kiwack hata siikumbuki. Ila now ni mzeee sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…