Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Kuna licolombia flani linamisuli lilimpa wakati mgumu juu ya flat roof.In the line of duty...ndio movie yake ya kwanza kumuona huyu mwamba nakumbuka miaka ya 1993.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna licolombia flani linamisuli lilimpa wakati mgumu juu ya flat roof.In the line of duty...ndio movie yake ya kwanza kumuona huyu mwamba nakumbuka miaka ya 1993.
Hiyo 28 ya Kanumba uliiona midogo au mingiHuyu ndio vampire sasa sijui anakulaga nini?? Anaitafuta 70 jamaa
Mimi nahisi ni maumbile ya mtu tu.
Mwingine ni Paul Rudd (Ant-Man) nae ana sura ya kutokuzeeka. Mwangalie Mark Rufallo(Hulk) anaonekana mzee kuliko yeye.
Nilishangaa sana kusika Kanumba alikua na miaka 28[emoji848]
View attachment 2580339
Ushamuangalia rambo (sylivester stallone)?View attachment 2580252
Umeitazama muvi ya John Wick Chapter 4? Humo utakutana na mtaalamu Donnie Yen kacheza kama kipofu aaitwaye. Ni noma sana humo ndani kakiwasha balaa.
Donnie Yen ana miaka 59 sasa anaelekea 60 lakini muonekano wake utadhani ana miaka 40s. Sio kama wenzake Vincent Zhao, Andy lao, Yuen Biao, Jack Chan, Jet lee (huyu kidogo maradhi yamemzoofisha). Bado yuko fit kabisa kuliko beki kisiki wa msimbazi Josh Onyango😅
Kibongo bongo ukiwa na umri huo tayari ushakua babu unajiandaa kufa.
View attachment 2580250
Ni kama huyu mbabu wa kihindi Anil Kapur unaweza kujua anakua kwa kurudi nyuma. Ukiangalia muvi zake za 90s alikua anamuonekano wa kizee ila miaka inavyozidi kwenda anaonekana kijana. Kwasasa ana miaka 66.
View attachment 2580258
[Anil Kapur aliyevaa viatu vya pink, Huyo binti ni mtoto wake, mwanaume aliye kulia kwake kajishika mkono ni mume wa binti yake]
Achana na yule upinde.Cc Secret ID mzee wa Altezza
Kando ya Bruce lee mtu anayeheshimika zaid kwenye martial art ni Jackie Chan , ana pesa chafu huyo mwamba , Donie Yen hamkuti Jackie Chan hata nusu, na jackie Chan kaanza kujulikana akiwa na miaka 17 tuu , nafkri Golden harvest ndo wamemtumia sana chini ya Raymond Chow ambaye ndo alim-spot kwa Bruce leeNafkiri na muda wa kutoboa ki movie unachangia.
Nahisi Chan amechelewa kutoboa, yaani alitumia muda mwingi mpaka kujulikana sana na maagent. Lakini Yen hakutumia muda mwingi kupata ma agent wa holiwood. So ikamfanya kupata pesa mingi mapema na kurekebisha maisha mapema. Nahisi Chen kapigwa sana na mawakala kama Rose Mhando.
Wabongo twaacha choka moyo kabla ya mwiliSisi wabongo ukifika miaka hiyo na makunyanzi yako,
ati unajipa moyo
Ng'ombe hazeeki maini.
🤣🤣🤣Bado yuko fit kabisa kuliko beki kisiki wa msimbazi Josh Onyango😅
Mkuu Jackie Chan ni age mate na Donie.. !?? Em fanya ka utafiti kidogoHuyu jamaa hata mwenyewe ananiacha sana njia panda
Ukicheki umri wake halafu ukaangalia na age mate wenzake kina Jet li na Jack Chan unaona kabisa jamaa ni kama immortal
Picha ya nchi, nadhani walikua wanaandaa movie inaitwa MALANG.. bongo ya movie nayoikubali zaidiView attachment 2580252
Umeitazama muvi ya John Wick Chapter 4? Humo utakutana na mtaalamu Donnie Yen kacheza kama kipofu aaitwaye. Ni noma sana humo ndani kakiwasha balaa.
Donnie Yen ana miaka 59 sasa anaelekea 60 lakini muonekano wake utadhani ana miaka 40s. Sio kama wenzake Vincent Zhao, Andy lao, Yuen Biao, Jack Chan, Jet lee (huyu kidogo maradhi yamemzoofisha). Bado yuko fit kabisa kuliko beki kisiki wa msimbazi Josh Onyango😅
Kibongo bongo ukiwa na umri huo tayari ushakua babu unajiandaa kufa.
View attachment 2580250
Ni kama huyu mbabu wa kihindi Anil Kapur unaweza kujua anakua kwa kurudi nyuma. Ukiangalia muvi zake za 90s alikua anamuonekano wa kizee ila miaka inavyozidi kwenda anaonekana kijana. Kwasasa ana miaka 66.
View attachment 2580258
[Anil Kapur aliyevaa viatu vya pink, Huyo binti ni mtoto wake, mwanaume aliye kulia kwake kajishika mkono ni mume wa binti yake]
BOnge la movie hiliKuna licolombia flani linamisuli lilimpa wakati mgumu juu ya flat roof.
View attachment 2581576View attachment 2581578View attachment 2581580
Kuna hii ya Uganda Kungfu Donnie Yen mchumbaa tu 😆😆😆😆👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿Inaitwa Mulan 2020
Acha hiyo kuna tiger cage....kuna kuna bubu alisema ubandani manzense....matatuuu...matatuuu...matatuuuuu....yale mateke matatu aliyoruka don Yen ktk hiyo movie acha tuuuKuna licolombia flani linamisuli lilimpa wakati mgumu juu ya flat roof.
View attachment 2581576View attachment 2581578View attachment 2581580
Kama Morgan Freeman tuu tunaanza kumuona tayari ana mambo ka Lowasa hahaaaaa......kuna yule nwamba wakuitwa Chuck Norris ameanza kujulikana tayari ni mzee, sijui nowadays atakuwa kidingi kiasi gani aisee