Donor Fatigue: Wazungu wametuchoka, sisi tunanunua ma VX!

Alipofanya Magufuli kuijali nchi yake alipigwa vita sana tena mno mpk wanachi waliokua brainwashed na western,sasa anafanya Trump anaonekana shujaa.
Namkubali sana mchina kwakua chake toka kwake ni priority vingine vitafuata
 
Du......mkuu ukiwa pimbi wa kufikiri usijionyeshe hadharani. Kwa Mwalimu nyerere, Magufuli ni mfuta viatu,. Katika nyumba ya Mwalimu , Magufuli hana sifa za kuwa hata mlinzi wa getini.

Akili zako za kijinga zipeleke Chato na ufe kwa covid!
Unahisi kuna chochote umeandika?
 

Haya yanaitwa MANENO KUNTU. Yaani jinsi alivyozungumza waafrika tunaonekana kama watu tusiojitambua na kushabikia viongozi wa hovyo, wabinafsi, mafisadi, wakabila, wadini n.k

AFRICANS WAKE UP.
 
Trump hapaswi kulaumiwa kwa chochote kile,viongozi wetu wa Africa na hasa mama yenu anajua kuzurura tu,na kuweka Akili mfukoni.Viongozi wa Africa hawasikilizi wananchi sasa maendeleo yanatoka wapi kama ww kiongozi unajichagua mwenyewe .Marekani wananchi wanachagua viongozi tofauti na Afrika ambako viongozi wasio na Akili wala maarifa wanang'ang'ania kuongoza watu,vyama vilivyoishiwa sera na viaumbele ndio havitaki kusikiliza wananchi,Alafu etu ndio tutapata maendeleo kutoka kwenye Akili za wajinga,haitawezekana kamwe Donald Trump na wazungu wengine wengi tu wataendelea kututukana tu mpaka tutakapo badilika ana kuwa na watu halisi kwenye uongozi watakao tupeleka mbele na sio akina SAMIA na CCM yao.Watanzania Wana mambo mengi sana na ya maana kama watasikilizwa bila kubuzuzwa
 
Maneno ya Trump yanataka kunitoa machozi kwani ndiyo ukweli.Nirudipo Tanzania kifikira namkuta Mtanzania kaathiriwa na umwinyi(asiyejishughulisha).Mwingine msomi na hivyo kazi zake ataka ziende na hadhi yake,mwingine kawekeza katika utajiri wa miujiza,mwingine kawekeza bahati nasibu,mwinine kulaumu viongozi kama chanzo cha umasikini nk.Kifupi Watanzania hatujui nini cha kufanya.Viongozi nao kazi ni ubadhirifu na kuogofya wanaopata maono ya kuwaamsha waliolala.
 
Mpka kizaz Cha chawa kiishe kwanza labda Luka mshamba
 
Sasa hv kuna options babu bila marekani inawezekana Acha kupenda utegemezi
Sema hiyo option ? Ipo? All big tech companies zipo silicon valley, we sio mtu wa technology ndio mana yanasema kuna option ? Option ipi, computer unayotumia ni either ina Linux, Microsoft Windows au IOS, hizi zote ni zao, hii web platform unayotumia wewe kunisema mimi niache utegemezi imegongwa kwa pho, java script na vitu kama hivyo na hizi zote ni language wap wap ndio wametengeneza STANDARD hizo, brother unatumia simu right ? The best processor saivi ni snapdragon 8 elite inayotengenezwa na Qualcomm unajua Qualcomm ilipo ? Ipo San Diego CA. Bro jamaa wamejipanga Nvidia, Intel, Mediatake, MAD, Broadcom, haya makampuni kaangalie yanatoka wapi alafu fuatilia how these companies are incorporated with our daily involvement with technology and the devices we use daily alafu urudi hapa tena
 
Tena ilitakiwa wazuie hata mikopo. Serikali ikitaka kukopa, ikope kutoka mabenki ya ndani, na ndani ya miezi mitatu iwe imeanza kulipa.

Hawa viongozi wetu majizi, wanakopa kufanyia anasa, halafu wanaacha madeni yatakayovitesa vizazi vya baadaye.
 
Mzungu kaona mnamchuna halafu utamu mnampa mchina , haya sasa ndo kasema mkale mlipopeleka mboga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…