Don't be a nice guy

Mwanaume unayechanganya kiswahili na kiingereza kwenye ushauri wako huna tofauti na kina Rose au Janeth.
 
Amna... Mimi nakuachia kabla sijampenda zaidi... Wewe ni mwenyeji kuliko mimi... Lazima nifuate unachokisema na kuheshimu hisia zako... Ndio nilivyofundishwa na mama ili kudumisha undugu na kuepusha migogoro ya kifamilia...
I appreciate Gentleman
 
Kila mwanaume anapenda kuwa playboy, ila kila mwanaume anapenda dada zake wadate na good guy au ikishindikana ampate nice guy na si playboy.

Tatizo dada zetu hawa helewi, playboy wengi hawanaga time na mimba wala kulea, wao ni mwendo wa shoo ila good guy/nice guy wao wakitia mimba wanacho fikiria ndoa na majukumu ya kudumia familia. Playboy ni mitambo ya kutengeneza single mother mitaani.
 
Dont be a nice guy, means usiwe doormat wa kupelekwa na mwanamke. Yaani unaweza kuwa gentlemen but ukawa mtu wa misimamo, she will repect you akiona ameshindwa kukuyumbisha
Hii thread nimeipenda sana.....na wewe umepinpoint vizuri kama wanaume wengine hapo juu....
 
nimecheka community cock πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwa hio unataka kusema mwanamke mzuri akikukubalia anakua tayar kashatendwa,demaged ,overused,traumatised, shattered, broken,destroyed and dumped ..
Pia amepitia community cock..
 
Daaaaah daaaah! Dunia haina huruma.....asahau ya zamani maana alikutenda.
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ mkuu unatema madini ya kufa mtu.
 
Sio huyo tu hata hapa Tz wapo wanaomilikisha ndugu zao na ndugu wa mwanaume wanaonekana mafala.
 
Tulia ukweli ukuingie.... feminist mna roho mbaya za kibinafsi.....mifano ni mingi. Sio wanawake wote lakini ila majority.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† hatari sana lazima umsome mwanamke akili yake anavo kuchukulia yaani....
 
Let me get this straight....; Yaani wewe ni humble na hautaki mambo ya ajabu ajabu uanze ku-act like a lunatic sababu tu eti women likes bad guys ? Je huoni kwamba hao so called women watakuwa hawakutaki wewe (an actor) na siku ukirudi kuwa kama ulivyo bado wataondoka ?

My advice to you just be yourself and you will attract people who likes you for who you are na wale wengine watakwenda wanapokwenda.... It takes too much energy to act.... and there is someone for everyone (na ukiwa an attraction for more than what you need what's good in that)? This is not a competition no point in complicating the issues...

To each their own.....
 
Kuna jamaa yangu ni nice guy aisee anateseka sana amezaa na mwanamke ila yue demu akipata tu mwanaume mwingine basi mshkaji anapigwa pini hadi kuongea na mwanae,na wakivurugana huko basi anarudi kwa jamaa na anampokea kwa mikono miwili. Mshkaji huwa sio mtu wa church ila mwanamke alimwambia aanze kwenda church ili waanze process za kuoana jamaa akanyoa vizuri kabisa maana alikuwa na afro la kutosha na madevu kaanza kwenda church na akaomba kwa mchungaji apate kipaimara maana hajawahi kupata hahahahahah! baada ya 2 month demu akapata sponsor akampiga pini jamaa na kumwambia masuala ya ndoa sio kwa sasa bado anafikiria jamaa alipata stress mbaya ila ajabu huyo demu sasa hivi kaachana na huyo sponsor karudi kwa kasi japo jamaa alijitahidi kumkazia maana tulikuwa tunamcheka sana ila now kimyakimya tunaona tu wako pamoja. Mshkaji kawekwa reserve kabisa na hafurukuti kweli wanawake Mungu anawaona mkipata nice guy hamuwezi kuwatunza.
 
The good guys take the left over while bad boys eat her fresh. My brother never be that good and understanding man, you deserve much better. Judge a woman harshly based on her past.
Kwa msaada wa google Translation
"Wazuri huchukua mabaki huku wavulana wabaya wakimla mbichi. Ndugu yangu usiwe mtu mzuri na muelewa, unastahili bora zaidi. Mhukumu mwanamke kwa ukali kulingana na maisha yake ya zamani"

Hivi wife material yupo? πŸ˜€
Hivi ndoa takatifu zipo?πŸ˜€

Nakumbuka chuoni, Kuna badboy moja kwa jina la Rony,Jamaa alikua anakula bangi, pombe, na videmu vingi.Akawa na demu mmoja kibonge anamla matako na anakuja kusimulia, kuna siku dada "alikunya" akamlazimisha kwenda kufua mashuka kwa kumfokea.
Huwezi amini rafiki yangu wa karibu akaja kuoa huyo kibonge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…