Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo tulisema humu watu wakadharau,sasa kiko wapi?ukiiweka bandar kubwa karibu na Dar maana yake unataka Bandar ya Dar ipate mshindani.kwann bandar mpya isijengwe karibu na mombasa ili tumpe kazi muwekezaji aichachafye kenye kama kweli ana capital?ndo yaleee,kumpa dangote bandar karibu na bandar ya mtwara.
Kwanini tusiboreshe bandari za Tanga, DSM na Mtwara ili zikidhi mahitaji yetu? Je bandari ya Bagamoyo ina lipi LA Ziada?
Why the hell invest in a project which would take that long to generate income??!!
Hv jamani Kweli hii article imeandikwa na Mtu punguani au mwenye akili? Ukiangalia tu unajua ni propaganda...Port tunajenga na Meli kubwa zitadock tu..na Mafuta tutauza...acheni kuogopa kudorora port ya Dar
nilitegemea wana muono kumbe kisa kukosa tender; Belgium wantisifia Tanzania kwa lipi???
toka nimezaliwa sijawahi kula wala kutumia wala kusikia product toka belgium
sisi Socialist acha wachina wajenge bandari yao Bagamoyo tuingie nao mikataba ya tija ;ikizingatiwa meli nyingi zinazokuja Tanzania zinatoka China
SHAME ON YOU ;KAMALA & BELGIUM.
ATA SHULE MMOSHINDWA KUJENGA TANZANIA; ATA SCHOLARSHIP HATUPEWI
WAAMBIE TUTAJEMBA BANDARI MIALO YOTE ; ILIKUWA IMEBAKI PWANI
MTWARA -------------HIPO
LINDI ------------------HIPO
PWANI ---------------- NDO TUANJIANDAA
TANGA----------------- HIPO
Kwanini tusiboreshe bandari za Tanga, DSM na Mtwara ili zikidhi mahitaji yetu? Je bandari ya Bagamoyo ina lipi LA Ziada?
Kujenga bandari Bagamoyo ni kuziua Bandari za Tanga na Dar, huo ni ukweli ambao Serikali ya CCM zinajifanya haziuoni wakati uko dhahiri.
Hayo mapesa wangetumia kupanua na kuimarisha Bandari za Dar na Tanga na kujenga/kuboresha Miundombinu ya reli na barabara kutoka hizo Bandari kwenda bara.
Vv
Hivi ukiwa kiongozi unakuwa huna akili? Tanga kunajengwa bandari mpya sijui ya zamani imezidiwa? Bagamoyo kunajengwa bandari mpya! Wanauchumi endeleeni kuelimisha jamii faida na hasara za huu ujenzi ili tuweze kupiga kura kwa usahihi october.Haya mambo tulisema humu watu wakadharau,sasa kiko wapi?ukiiweka bandar kubwa karibu na Dar maana yake unataka Bandar ya Dar ipate mshindani.kwann bandar mpya isijengwe karibu na mombasa ili tumpe kazi muwekezaji aichachafye kenye kama kweli ana capital?ndo yaleee,kumpa dangote bandar karibu na bandar ya mtwara.
Wewe jamaa sijui uko sawa kichwani? Hao wachina wanajenga hiyo bandari kwa gharama za nani? Wataiendesha wao kwa miaka 50 halafu wajukuu zako watakabidhiwa scrapper. Wakati tuko kaburini kuna watu watakuwa wanatulaani kwa nini wamekuta bandari ambayo iko nchini mwao halafu siyo yao!bandari inajengwa na wachina wao kinawahusu nini kama itakuwa white elephant?hawa maagent hawajawahi fanya biahsara ya Transshipment hata mara moja wanaweza vipi kutoa ushauri kwa watu wenye uzoefu wa kuendesha bandari za aina hiyo?
Wewe jamaa sijui uko sawa kichwani? Hao wachina wanajenga hiyo bandari kwa gharama za nani? Wataiendesha wao kwa miaka 50 halafu wajukuu zako watakabidhiwa scrapper. Wakati tuko kaburini kuna watu watakuwa wanatulaani kwa nini wamekuta bandari ambayo iko nchini mwao halafu siyo yao!
bandari inajengwa na wachina wao kinawahusu nini kama itakuwa white elephant?hawa maagent hawajawahi fanya biahsara ya Transshipment hata mara moja wanaweza vipi kutoa ushauri kwa watu wenye uzoefu wa kuendesha bandari za aina hiyo?
He Yaani kweli hutajli project ikiwa WhiteElephant?! Angalau ungeprove kuwa hiyo project si white elephant! Yaani eti kwa sababu m hela ya mtumwingine wewe husikii maumivu kwa nini isingejengwa kwenye potential?????