Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Wacha tujenge kwanza matumizi tutajua baadaye!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi y aku-prove sio ya kwangu, ni ya waliofanya due dilligence, na wanaoweka pesa zao.CHINESE COMPANY. kiherehere cha mtu anayetumia pesa zake mie nimfanyie diligence sina.
Je, unafahamu kitu kinachoitwa transshipment ports? Kama hufahamu, hii ni aina ya bandari ambayo inatumika kubadilishia mizigo kutoka meli kwenda kwenye meli nyingine! Kwa mfano, assume kuna mzigo wa tani 10 umepakiwa bandari ya Durban South Africa kuelekea China kwenye meli yenye mzigo wa tani 100 ambayo inaelekea UK. Kazi ya transshipment ni kubeba huo mzigo wa tani 10 kutoka Durban na kuupakia kwenye meli inayoelekea China... which means, kama Bandari ya Bagamoyo imelengwa kuwa transshipment port, hii maana yake ni kwamba, ile meli inayotoka Durban itapitia kwanza bandari ya Bagamoyo na kupakua zile tani 10 ambazo zitapakizwa kwenye meli inayoelekea China! Nadhani hapo nimeeleweka!!Sio waende zao. Haya ni mambo ya uchumi huna uwezo nayo. Tatizo hapo mafisadi walishachukua 10% zao kabla ya kuweka saini mikataba ya kinyonyaji hizo hela za mlungula zitarudishwa na nani? Mkubwa nae anataka na kwao waonekane wameendelea hata kama bandari itabaki pambo.Utawala wa ccm umeliangamiza taifa kwa manufaa ya mafisadi.
Mkuu hao ni anti-Chinese na Russia, ndio baadhi ya nchi za magharibi zilivyo - wanawakaribisha Wachina kuwajengea port London, Wachina wanaendesha port za Ugiriki, wameingia mkataba wa kujenga reli za train ziedazo kasi huko Ulaya na Merikani - leo hii Waswahili wenzetu wanatumiwa na Wazungu kueneza propaganda za kushangaza!!!
Hivi wanafikiri Wachina ni wajinga kutaka kuwekeza Port ya Bwagamoyo? Wao ndio wataitumia zaidi kushushia/kupakia mizigo ya kwenda/kurudi kwenye landlocked Countries, baadhi ya Nchi za magharibi ni wanafiki sana - Wachina na Serikali yetu hisiwasikilize hawa ma Prophet of DOOM.
Je, unafahamu kitu kinachoitwa transshipment ports? Kama hufahamu, hii ni aina ya bandari ambayo inatumika kubadilishia mizigo kutoka meli kwenda kwenye meli nyingine! Kwa mfano, assume kuna mzigo wa tani 10 umepakiwa bandari ya Durban South Africa kuelekea China kwenye meli yenye mzigo wa tani 100 ambayo inaelekea UK. Kazi ya transshipment ni kubeba huo mzigo wa tani 10 kutoka Durban na kuupakia kwenye meli inayoelekea China... which means, kama Bandari ya Bagamoyo imelengwa kuwa transshipment port, hii maana yake ni kwamba, ile meli inayotoka Durban itapitia kwanza bandari ya Bagamoyo na kupakua zile tani 10 ambazo zitapakizwa kwenye meli inayoelekea China! Nadhani hapo nimeeleweka!!
Sasa basi, hakuna asiyefahamu kwamba kwamba kwa sasa uchumi wa Africa umeshikwa na China! I hope lengo la China ni kuifanya Bandari ya Bagamoyo kuwa transshipment port at least kwenye ukanda wa bandari ya Hindi! Kwamba, mimeli mikubwa ya China yenye mzigo kutoka China (and more likely na mataifa ya jirani) inakuja kufunga gati bandari ya Bagamoyo na shehena zinazoelekea mataifa mengine kv Msumbiji, Kenya, South Africa n.k! Hiyo mimeli mikubwa ikifunga gati bagamoyo, ndipo meli zingine ndogo (as compared na hizo meli kubwa) zinakuja ku-load (and possibly ku-unload) mizigo kuelekea bandari mbalimbali kutokea hapo Bagamoyo! Therefore, endapo tutalinganisha operation za bandari kama hiyo sawa na bandari kama ya Dar es salaam au Mombasa, lazima mtaona kwamba that's stupid investment but as a transshipment port, not a stupid investment at all. Hao shipping agents wanao-criticize bila shaka wanachukulia operations zake sawa na ordinary port na hawaangalii possibility ya kuwa transshipment ambayo, kwa uchumi wa China ulivyo hivi sasa, sina shaka hata kidogo kwamba wanahitaji Transshipment Port in Africa!
Je, unafahamu kitu kinachoitwa transshipment ports? Kama hufahamu, hii ni aina ya bandari ambayo inatumika kubadilishia mizigo kutoka meli kwenda kwenye meli nyingine! Kwa mfano, assume kuna mzigo wa tani 10 umepakiwa bandari ya Durban South Africa kuelekea China kwenye meli yenye mzigo wa tani 100 ambayo inaelekea UK. Kazi ya transshipment ni kubeba huo mzigo wa tani 10 kutoka Durban na kuupakia kwenye meli inayoelekea China... which means, kama Bandari ya Bagamoyo imelengwa kuwa transshipment port, hii maana yake ni kwamba, ile meli inayotoka Durban itapitia kwanza bandari ya Bagamoyo na kupakua zile tani 10 ambazo zitapakizwa kwenye meli inayoelekea China! Nadhani hapo nimeeleweka!!
Sasa basi, hakuna asiyefahamu kwamba kwamba kwa sasa uchumi wa Africa umeshikwa na China! I hope lengo la China ni kuifanya Bandari ya Bagamoyo kuwa transshipment port at least kwenye ukanda wa bandari ya Hindi! Kwamba, mimeli mikubwa ya China yenye mzigo kutoka China (and more likely na mataifa ya jirani) inakuja kufunga gati bandari ya Bagamoyo na shehena zinazoelekea mataifa mengine kv Msumbiji, Kenya, South Africa n.k! Hiyo mimeli mikubwa ikifunga gati bagamoyo, ndipo meli zingine ndogo (as compared na hizo meli kubwa) zinakuja ku-load (and possibly ku-unload) mizigo kuelekea bandari mbalimbali kutokea hapo Bagamoyo! Therefore, endapo tutalinganisha operation za bandari kama hiyo sawa na bandari kama ya Dar es salaam au Mombasa, lazima mtaona kwamba that's stupid investment but as a transshipment port, not a stupid investment at all. Hao shipping agents wanao-criticize bila shaka wanachukulia operations zake sawa na ordinary port na hawaangalii possibility ya kuwa transshipment ambayo, kwa uchumi wa China ulivyo hivi sasa, sina shaka hata kidogo kwamba wanahitaji Transshipment Port in Africa!
Na ndio maana nimezungumzia suala la possibility ya kuwa transshipment port, that's one, but second, usisahau kwamba huu mradi unakuwa financed na China Merchants Holdings (International) Co Ltd, so unless kama unataka kusema Wachina ni wapumbavu kiasi cha kuweza ku-finance multi-billion project just to favor political lust of African Leaders! Hebu tujikumbushe kidogo habari ambayo iliwahi kutolewa na CNN.Nadhani hizi ni assumption zako mkuu,
Ila kumbuka Bandari inayojengwa si ya wachina. Mfano mdogo tu mkuu: Kwani ukitafuta fundi ujenzi akakujengea nyumba unategemea huyo fundi kulala hiyo nyumba au kupanga kwenye hiyo nyumba??
Wanachina wameshinda tender ya kujenga bandari, na siyo lazima meli zao zifunge kwenye hiyo gati. Mbona transhipments zinafanyika tu hata bandari ya Dar??
Hili swala kwa mtazamo wangu limepelekwa kisiasa zaidi, siyo kama lina tija kwa maendeleo ya uchumi wa Tanzania. Kwanza kina cha maji Bagamoyo hakisupport meli zenye draft kubwa ku-berth, sasa hizo meli kubwa za kichina unazosema zitatumia hiyo bandari ya Bagamoyo zitawezaje kufunga gati?? Cha msingi walipaswa ku-improve Bandari ya dar na kuifanya ya kisasa zaidi. Kuweka miundo mbinu ya barabara na reli mizuri kutoka bandarini. Kuongeza kina cha kwa berths na kuinstall vifaa vya kisasa. Kama umewahi kufika Antwerp port, walichofanya ni kuongeza kina cha maji kuanzia anchorage mpaka kwenye berths zao, meli za draft mpaka 30m zinafunga.
Kwanza kwa takwimu zilizopo meli za kutoka china zinazokuja hapa kwetu hazizidi kumi kwa mwaka.
Quote nyingine ni hii hapa chini:Xi set to unveil $10bn Tanzania port project
By Leslie Hook in Beijing
Chinese President Xi Jinping is expected to unveil a big port project in Tanzania during his first visit to Africa as head of state, highlighting China's growing infrastructure investments in the resource-rich continent.
Chinese investment in and trade with Africa have soared over the past decade, with China's lending to developing country governments and companies surpassing that of the World Bank during certain periods.
Sasa hivi Mkuu wangu unataka kuniambia Wachina siku hizi wamekuwa stupid kiasi hicho? Kama wanaowekeza ni Wachina, sasa kama mradi ni wa kisiasa, je unatarajia kum-favor nani? Can Chinese President Xi Jinping's political career shine in his coountry kwa kuwekeza kwenye white elephant project in a foreign country? Nani anayelengwa kunufaika ikiwa ni just for political reason?The port, which is located north of Dar es Salaam, will be linked to a special industrial zone and function as a trade hub linking Asia and east Africa, with the state-owned China Merchants Group leading the port construction, according to Mr Marmo. More at CNN
Basi bwana ikiwa hata Kamala na wenzie wote hawakujua madhumuni ya ujenzi wa hiyo bandari mpya ya Bagamoyo na kuahauri bora tuiendeleze ya Dar na kujenga miundombinu ya reli n.k.itakuwa labda wivu wao kwa kukosa mgao. Ila kwa viongozi wa taifa hili baada ya uongozi wa Kambarage hakuna kinachofanyika kwa manufaa ya taifa zaidi ya 10%zao.
Nimetumia neno possibility ya kuwa transshipment port! Kwenye investment kubwa kama ile watu hawaangalii the next 20 years kama walivyosema hao Shipping Agents bali wanaangalia at least the next 50 years! That's one, but second, ile project inahusisha na ujenzi wa reli vile vile coz', kwa miaka hii ya sasa, from now to 20 or 30 years, there's no doubt kwamba lengo ni kufanya a gateway to landlocked countries! Huwezi kufanya hivyo bila kuimarisha miundombinu ya reli na ndio maana project ya Bagamoyo Port inaenda sambamba na ujenzi wa reli pamoja na economic/industrial zone!Basi bwana ikiwa hata Kamala na wenzie wote hawakujua madhumuni ya ujenzi wa hiyo bandari mpya ya Bagamoyo na kuahauri bora tuiendeleze ya Dar na kujenga miundombinu ya reli n.k.itakuwa labda wivu wao kwa kukosa mgao. Ila kwa viongozi wa taifa hili baada ya uongozi wa Kambarage hakuna kinachofanyika kwa manufaa ya taifa zaidi ya 10%zao.
Labda tujaribu kuelimishana kidogo tu mkuu, sinadhi ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo utakuwa na tija kwa taifa letu ki-uchumi. Shida ya nchi yetu mambo mengi wanapeleka kisiasa mno. Hizo pesa wanazotaka kuzi-invest huko Bagamoyo wakizitumia ku-imporove hii bandari ya Dar es salaam ikawa ya kisasa na kupanua miundombinu ya barabara na reli kutoka bandarin, kuweka vifaa vya kisasa n.k performance itaongezeka na hivyo ku-attract meli nyingi. (kwani Congestion itapungua sana). Kumbuka ship owners wanapenda meli ikae bandarini muda mfupi kwani inawapunguzia operational costs na turnaround time. Lakini kwa hiyo investment wanayotaka kuifanya Bagamoyo ni hasara tu (RoI inaweza kuchukuwa miaka mingi sana). Kwani meli ngapi za wachina zina kuja hapa kwetu? kwa uzoefu wangu kwa mwaka tunaweza kuwa na meli 7 za kutoka china ambazo zinafunga gati bandari ya Dar. Nadhani serikali wanapaswa kufanya utafiti wa kina kabla ya kukurupuka kuanzisha investment ambazo payback yake in unpredictable. Hapa hakuna cha Mataifa ya Magharibi wala chuki kwa wachina. Kilichoelezwa na TASAA ni facts tupu
Bagamoyo ndio makao makuu ya kwanza ya serikali ya kikoloni ya kijerumani, walihamia Dar es salaam ili kufuata kina kirefu cha bandari, sasa tunarudi waliposhindwa wataalamu?
The construction of Bagamoyo port is aimed at easing congestion in Dar es Salaam.
Hapa mimi ndo ninapoona usanii. Hatuna nia ya dhati ya kukuza uchumi, ila tuna lengo tu la kufurahisha watu kwa kila awamu. Si kweli na naamini sababu hiyo iliyotajwa hapo juu kama ina tija kwa Taifa. Tuchukue hizo 22Tn/- na tuzigawe kama ifuatavyo:
12Tn/- zingetumika kuijenga upya bandari ya Dar es Salaam ambap katika hizo 9.5Tn/- zingejenga bandari kuwa kubwa na ya kisasa, 2.5Tn/- zingejenga miundombinu ya treni na Bandari kavu. Treni ingeanzia bandarini hadi bandari kavu Mkoa wa Pwani kati ya Ruvu na Chalinze ili malori yaanzie hapo.
5Tn/- zingepelekwa bandari ya Mtwara ambapo 4Tn/- zingejenga bandari na kuwa kubwa na ya Kisasa kabisa. 1Tn/- ingemaliza kipande cha Barabara kutoka Masasi hadi Songea( 500bn/-) na (500bn/- zinazobaki zingejenga barabara kutoka songea hadi Chimala kwenda Mbeya). Hii route ingesaidia kupunguza umbali wa Mtwara hadi Mbeya, na hivyo baadhi ya mizigo ya Zambia, Malawi na Kongo ingepakuliwa Mtwara.
Likewise, 5Tn/- zingejenga bandari ya Tanga na ikawa ya kisasa ikijumlisha na Railway Track kwa ajili ya mizigo kutoka bandarini hadi bandari kavu na hivyo ni rahisi.kwa mizigo ya zone.ya Uganda na nchi zingine kuanzia bandari ya Tanga.
Lakini kila nikiangalia MANTIKI ya Kiuchumi kutumia hela zote hizo katika jambo ambalo kiuchumi ni.mzigo, mi nashindwa nisemeje, inaniuma ila nikiwa kama Mtanzania wa kawaida mradi hauna tija ya Haraka kwa Taifa hasa kwa kuzingatia uhaba mkubwa wa Rasilimali pesa tulio nao kwa sasa na kukua kwa deni la Taifa ambalo linatisha. Kwa wanauchumi makini wasingekubali jambo hili lifanyike sasa kwa hali ya uhaba wa fedha tulio nao. Nakubali in near future jambo hilo lingekuwa feasible!
Moja, mwenye pesa anaamua atumie vipi pesa yake, huu sio mkopo, ni mchina mwenye pesa yake anafanya investment akirudisha pesa yake anakabidhi mradi BOT.
mbili, Bandari ya DSM haifai kwa transhipment type of port, mfano huwezi lazimisha airport ijengwe kariakoo kwa kuwa tu unataka iwe hivyo, wataalamu wamefanya analysis wameona eneo linafaa kwa hiyo bandari.wenye pesa wameweka pesa zao.
tatu,ukisoma taarifa kuhusu bandari zilizobaki zote zinafanyiwa upanuzi/uboreshwaji. Tanga Port/mwambani wamepewa matapeli kina rugemalila, Dar es salaam port serikali imechukua mkopo kupitia benki ya dunia wa dola nusu bilioni, sasa ulitaka mchina aje kuweka pesa kwenye mradi usiofaa, na uliosecure financing tayari?
Nne,Idadi ya meli zinazokuja kwenye bandari inategemea na aina ya huduma zinazotolewa kwenye hiyo bandari, huwezi kuona 5th generation ship bandari ya Dar kwa kuwa haina uwezo wa kuhudumia meli hizo, na haiwezekani kuzihudumia kwa mapungufu ya kijiografia. mfano, ni sahihi kulazimisha boti zifike hadi ubungo bus stand ili tu kuokoa pesa ?Think big.
Mwisho, wajenga badnari wanahudumia bandari za kimataifa, zenye huduma ambazo hao TASAA hata waishi miaka 1000 hawataweza kuzitoa, they are technically incompetent to advise. As long as pesa wanatoa wachina, Bandari itaendeshwa na wao kwa miaka waliyokubaliana hadi warudishe pesa yao sioni tatizo. This is a zero liability transaction to Tanzania. siku wakirejesha bandari kwetu tutakuwa na uwezo na uchumi wa kuihudumia, tukisubiri tuwe na huo uchumi hao wanaowachochea kutokuijenga watajengwa mombasa halafu watakuja kuwakejeli humu kwa kuwa lazy.
I fault JK Govermnet for many thing, i will never fault them for building BIGGER and BETTER infrastructures in a country that needs them as much as we do.
Pesa wanatoa wachina bure? Nani kakudanganya? Duniani mapenzi hayo hakua, mkuu believe me! Bure ilikuwa Tazara, lakini kuanzia Bomba la Gesi na hii bandari, hamna kitu cha bure hapo mkuu