Don't build Bagamoyo port, shippers tell Government

Hii bandari ni janga la kitaifa kwa sasa...!!! Wachina wataifilisi nchi hii...i swear...!!!
 
Bagamoyo ndio makao makuu ya kwanza ya serikali ya kikoloni ya kijerumani, walihamia Dar es salaam ili kufuata kina kirefu cha bandari, sasa tunarudi waliposhindwa wataalamu?
 

Upuuzi wa serikali ya ccm na viongozi dhaifu wanaowaza makwao tu... Hakuna haja ya kutengeneza bandari bagamoyo wakati hizi za dar, tanga na mtwara hazijatumika ipasavyo
 
nilitegemea wana muono kumbe kisa kukosa tender; Belgium wantisifia Tanzania kwa lipi???
toka nimezaliwa sijawahi kula wala kutumia wala kusikia product toka belgium

sisi Socialist acha wachina wajenge bandari yao Bagamoyo tuingie nao mikataba ya tija ;ikizingatiwa meli nyingi zinazokuja Tanzania zinatoka China
SHAME ON YOU ;KAMALA & BELGIUM.
ATA SHULE MMOSHINDWA KUJENGA TANZANIA; ATA SCHOLARSHIP HATUPEWI


WAAMBIE TUTAJEMBA BANDARI MIALO YOTE ; ILIKUWA IMEBAKI PWANI

MTWARA -------------HIPO
LINDI ------------------HIPO
PWANI ---------------- NDO TUANJIANDAA
TANGA----------------- HIPO
 
Why the hell invest in a project which would take that long to generate income??!!

forward thinking.nyie mnaowaza masaa 9 mbele ndio mnauza shahada zenu kwa ujira mdogo
 
Kujenga bandari Bagamoyo ni kuziua Bandari za Tanga na Dar, huo ni ukweli ambao Serikali ya CCM zinajifanya haziuoni wakati uko dhahiri.

Hayo mapesa wangetumia kupanua na kuimarisha Bandari za Dar na Tanga na kujenga/kuboresha Miundombinu ya reli na barabara kutoka hizo Bandari kwenda bara.

Vv
 
Hv jamani Kweli hii article imeandikwa na Mtu punguani au mwenye akili? Ukiangalia tu unajua ni propaganda...Port tunajenga na Meli kubwa zitadock tu..na Mafuta tutauza...acheni kuogopa kudorora port ya Dar

nakubaliana nawew

no upuuz kujenga hpja ya dar vs Bagamoyo.

uchumi wa Tanzania ni moja. Tasaa wanaongozwa na ubinafsi.

Kwan Tanzania Uchumi unashndanishw na nn



kiusalama dsm hapafai kujengwa miradi mikubwa
 

Mkuu umeandika kwa haraka sana kiasi kwamba unatufanya tutimize nguvu nyingi ili tuweze kuelewa.

Vv
 
Kwanini tusiboreshe bandari za Tanga, DSM na Mtwara ili zikidhi mahitaji yetu? Je bandari ya Bagamoyo ina lipi LA Ziada?


Mkuu bandari ya bagamoyo inakadiriwa kuchukua kontena milion ishilini kwa mwaka wakati uwezo wa bandari ya dar ni kontena laki tano mpaka sita. Bandari ya Mtwara itakua maalum kwa ajili ya chuma kutoka linganga na mchuchuma. Burundi wakianza kuuza nikel pamoja na nickel kutoka kabanga tu kutakua na tani karibu milion 10 zinazotakiwa kwenda nje achilia mbari mzigo inayoingia. Kwa location ya bagamoyo kutakua na meli(za kuanzia 5th generation na kuendelea) za mizigo zitakazokua zinatia nanga nchini ambazo haziwezi kutia nanga hata mombasa.
 


Hizo bandari ulizotaja hata ukizipanua kiasi gani haziwezi kufikia bandari ya bagamoyo. Watu wa kwanza kulalamika walikua wakenya lakini sikushangaa kwa sababu walikua wanatetea bandari yao ya mombasa isimezwe na bagamoyo. Sasa sijui watanzania wanalalamikia nini.
 
Bora wangewekeza kwenye reli kwanza kabla hawajakimbilia huko kwenye bandari ambayo kwa uhakika mizigo inayokuja Tanzania bado Dar Port yatosha kabisa
 
Hivi ukiwa kiongozi unakuwa huna akili? Tanga kunajengwa bandari mpya sijui ya zamani imezidiwa? Bagamoyo kunajengwa bandari mpya! Wanauchumi endeleeni kuelimisha jamii faida na hasara za huu ujenzi ili tuweze kupiga kura kwa usahihi october.
 
bandari inajengwa na wachina wao kinawahusu nini kama itakuwa white elephant?hawa maagent hawajawahi fanya biahsara ya Transshipment hata mara moja wanaweza vipi kutoa ushauri kwa watu wenye uzoefu wa kuendesha bandari za aina hiyo?
Wewe jamaa sijui uko sawa kichwani? Hao wachina wanajenga hiyo bandari kwa gharama za nani? Wataiendesha wao kwa miaka 50 halafu wajukuu zako watakabidhiwa scrapper. Wakati tuko kaburini kuna watu watakuwa wanatulaani kwa nini wamekuta bandari ambayo iko nchini mwao halafu siyo yao!
 

Bandari sio gari ndugu, acha kuchanganya mambo.wanajenga kwa gharama zao.we can benefit from associated capital injection though companies and other businesses that will use the facilities.

Sio kila kinachofanyika utakifaidi wewe au mtoto wako, vingine watafaidi wajukuu zako. So yes wengi wetu tutakuwa vumbi wakati wa kufaidi matunda ya Bandari ya bagamoyo. Kwani babu yako aliyepigania Uhuru wakati wa majimaji yuko hai?angewaza tumbo lake kama akili zako fupi zinavyowaza ingekuwaje?

Start thinking forward sio ulipo tu
 
bandari inajengwa na wachina wao kinawahusu nini kama itakuwa white elephant?hawa maagent hawajawahi fanya biahsara ya Transshipment hata mara moja wanaweza vipi kutoa ushauri kwa watu wenye uzoefu wa kuendesha bandari za aina hiyo?

He Yaani kweli hutajli project ikiwa WhiteElephant?! Angalau ungeprove kuwa hiyo project si white elephant! Yaani eti kwa sababu m hela ya mtumwingine wewe husikii maumivu kwa nini isingejengwa kwenye potential?????
 
He Yaani kweli hutajli project ikiwa WhiteElephant?! Angalau ungeprove kuwa hiyo project si white elephant! Yaani eti kwa sababu m hela ya mtumwingine wewe husikii maumivu kwa nini isingejengwa kwenye potential?????

Kazi y aku-prove sio ya kwangu, ni ya waliofanya due dilligence, na wanaoweka pesa zao.CHINESE COMPANY. kiherehere cha mtu anayetumia pesa zake mie nimfanyie diligence sina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…