Don't wanna live if i cant have you in my life madame B.

Ubatili nimeuona chini ya jua,wanaotakiwa wawe segerea wapo mitaani na wanaotakiwa kuwa mitaani wapo segerea,,huu nao ni ubatili.


Yaani mkuu mikono hiyo hiyo iliyoandika hapa ndio huwa unatumia kumega matonge au kufunua vitabu vya dini???
 

Yeleuwiiiiii.....Hii ni zaidi ya limbwata khaa.. Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
Nyooo! Jichetue tu, hiyo talaka umpe nani. chezea mimi wewe?!
 
Dogo bamutu ya Bukavu banasema nini juu ya m23, kifupi dogo imekula kwako kuna mtu anaitwa Shark juzg kampeleka Madame B kwenye ile bustani ya Kenya maarufu kwa mambo yetu yale...., sijui kama pale mahali utapakuta katika hali gani aisee
Ahsante sana Baba V kwa kumuelewesha huyu mjamaa, nafikiri amekuelewa.
Nami nikiona Shemeji yangu anawindwa nitakua nachimba biti hivihivi kaka!!
 
Last edited by a moderator:

Una utani na mimi wewe mtu?
Epuka sana wake za watu, mimi na Madame B tumetoka mbali sana kwa taarifa yako. Yaani kifupi nimemfungua mwenyewe kwenye mlailoni (nylons), so please watch out.
 
Last edited by a moderator:
kumbe madame b ni mtundu itabidi nilifanyie kazi hili ili uchunguzi wangu ukamilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…