Don't wanna live if i cant have you in my life madame B.

Don't wanna live if i cant have you in my life madame B.

Ubatili nimeuona chini ya jua,wanaotakiwa wawe segerea wapo mitaani na wanaotakiwa kuwa mitaani wapo segerea,,huu nao ni ubatili.


Yaani mkuu mikono hiyo hiyo iliyoandika hapa ndio huwa unatumia kumega matonge au kufunua vitabu vya dini???
 
Usijali My Dear Chimbuvu, Na Ndio maana niliamua kuolewa na Waume 5, Ili ikitokea Dharula kama hii nimpate wa Kuniondoa Upweke.
Usijali, Umempata Wa Kukushikia Nafasi yako....... Shark........ Anakaimu nafasi yako vizuri sana Mpaka Najihisi Bado niko na wewe.
Ila Usijali Kwani hata mimi bado Nakukumbuka sana mpenzi,
Unasalimiwa sana na wana Chit Chat Woooote.
Ila Taarifa zilizo Mjini kwa sasa ni Suala la Mume mwenzio Ruttashobolwa Kunisaliti, Mimi kumpa Talaka Mume mwenza mwenzio Chilli na Mume mwenza Mwenzio Arushaone kukataa kutoka na Mimi siku ya Valentine Day.

Rudi Honey........
arifjan7.jpg

Nakuwaza Sana.

Yeleuwiiiiii.....Hii ni zaidi ya limbwata khaa.. Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
Nyooo! Jichetue tu, hiyo talaka umpe nani. chezea mimi wewe?!
 
Dogo bamutu ya Bukavu banasema nini juu ya m23, kifupi dogo imekula kwako kuna mtu anaitwa Shark juzg kampeleka Madame B kwenye ile bustani ya Kenya maarufu kwa mambo yetu yale...., sijui kama pale mahali utapakuta katika hali gani aisee
Ahsante sana Baba V kwa kumuelewesha huyu mjamaa, nafikiri amekuelewa.
Nami nikiona Shemeji yangu anawindwa nitakua nachimba biti hivihivi kaka!!
 
Last edited by a moderator:
Nimekaa nikifikiri,ntafanyaje bila wewe Madame B katika maisha yangu.siku hazihesabiki ambazo nimekuwa mpweke.
Nawe unafahamu ukweli kuwa nilikuwa Bukavu kwa mazungumzo ya amani baina ya M23 inayodhaminiwa na bujibuji na serikali ya congo, Baba V akiwa shahidi wa makubaliano.
Kwa kweli mpenzi wangu sipo vizuri kadiri muda unavyoenda,naweza nikachanganyikiwa sababu yako Madame B.
Niambie unajisikiaje Madame B,mimi najihisi mpweke huku bukavu,je unanifikiria na kuniwaza usiku kucha kama ninavyokuwaza?
Ninapofungua macho yangu,nikiangalia pembeni siioni sura yako nzuri ya kuvutia,nimemiss sura yako,nimemmiss kiss zako.
Nimemiss uchokozi wako na utundu wako,nimemiss kuwa karibu yako,nimepata taarifa kuna watu wanakuzengea achana nao hao akina Chibolo Chilli na tedo .
Siwezi kuishi bila wewe Madame B,,naomba unitunzie penzi langu mpaka nitakaporudi nikitokea congo kinshasa
nalingi yo Madame B

Chimbuvu

Una utani na mimi wewe mtu?
Epuka sana wake za watu, mimi na Madame B tumetoka mbali sana kwa taarifa yako. Yaani kifupi nimemfungua mwenyewe kwenye mlailoni (nylons), so please watch out.
 
Last edited by a moderator:
kumbe madame b ni mtundu itabidi nilifanyie kazi hili ili uchunguzi wangu ukamilike.
 
Back
Top Bottom