LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Sponsored ad on Facebook and Instagram zilikuwa Zina work effectively 2017 kushuka chini. Kuanzia 2018 hapo ni kusua sua na by 2025 it doesn't work at all.
Sababu ni hii hapo👇👇👇👇
Tajiri Mark Zuckerberg hataki wajasiriamali wadogo wadogo mpate financial break through.
Hataki mtajirike kupitia kampuni yake.
Anataka muendelee kuwa masikini kwa sababu ndio Sera ya dunia masikini waendelee kuwa masikini na ma tajiri wazidi kuwa ma tajiri.
Ndio maana ame incapacitate kwa makusudi mfumo wa Sponsored Ad kwa wafanya biasharabiashara wadogo wadogo.
Mwanzoni alipo ruhusu watu walikuwa wanapiga sana HeLa. Maelfu ya wafanya biashara walitoka kwenye kuwa wafanya biashara wadogo Hadi mamilionea.
Jambo hilo Lili kuwa kinyume na Sera zao mabepari ndio maana jamaa aliingilia Kati kimya kimya.
Sasa hivi sio Afrika sio Ulaya sio Asia sio Marekani sio Australia kilio kikubwa cha wafanya biashara ni Sponsored Ad hazifanyi kazi.
Wanahangaika bure tu masikini anae wabania ni Zuckerberg mwenyewe.
Ukiona tangazo limeenda kwa Sponsored ad at Facebook au Instagram it's either tangazo ambalo ni non for profit au wimbo au mambo ya kisiasa etc lakini sio mjasiriamali kutangaza biashara yake.
Sponsored ad ambayo ina work ni You Tube only napo iwe ni wimbo.
Nimeandika huu Uzi kwa sababu Leo nimekutana na jamaa ninae mfahamu ambae ameanza kuhangaika na sponsored Ad toka elfu 2017 analiwaga hela tu nothing works..
Thank me later