Dont waste your time to pay for " Sponsored Ad"on Facebook and Instagram. Sababu hii hapa👇👇

Dont waste your time to pay for " Sponsored Ad"on Facebook and Instagram. Sababu hii hapa👇👇

Mimi Kuna bidhaa niliinunua baada ya kuona Tangazo IG nikamtafuta muuzaji tena ni mjasiliamali mdogo Karikoo. , na yeye wateja wake wengi anawapata kupitia matangazo yake IG
 
Yes Mark ni shetani kabisa na hataki Uwe tajiri. Akiona unakuwa visited na watu wengi kwenye profile lako lazima akuletee usenge wake wa kukuuliza kama wewe ni mtu au roboti

Wewe umechanganyikiwa tu dogo. Umekuwa kama Deo Kisandu. Naona kila mtu atafikiwa kwa wakati wake. 🤣
 
Ingawa Ulichoandika chawza kuwa kweli, ila hii hapa ni uongo;

"Ukiona tangazo limeenda kwa Sponsored ad at Facebook au Instagram it's either tangazo ambalo ni non for profit au wimbo au mambo ya kisiasa etc lakini sio mjasiriamali kutangaza biashara yake"
 
Huo ndio ukweli mkuu. Hata hawa wanao ponda kwenye Uzi wanajua kabisa " Sponsored Ad" is no longer working nowadays
 
Huo ndio ukweli mkuu. Hata hawa wanao ponda kwenye Uzi wanajua kabisa " Sponsored Ad" is no longer working nowadays

No longer working sio sawa na kusema hazionekana, Mimi ni mdau wa miaka, the issue is, competition ni kubwa, kila mtu sasa mpaka single Mama wanajua kulitumia!
 
Back
Top Bottom