Dont waste your time to pay for " Sponsored Ad"on Facebook and Instagram. Sababu hii hapaπŸ‘‡πŸ‘‡

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Sponsored ad on Facebook and Instagram zilikuwa Zina work effectively 2017 kushuka chini. Kuanzia 2018 hapo ni kusua sua na by 2025 it doesn't work at all.

Sababu ni hii hapoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Tajiri Mark Zuckerberg hataki wajasiriamali wadogo wadogo mpate financial break through.

Hataki mtajirike kupitia kampuni yake.

Anataka muendelee kuwa masikini kwa sababu ndio Sera ya dunia masikini waendelee kuwa masikini na ma tajiri wazidi kuwa ma tajiri.

Ndio maana ame incapacitate kwa makusudi mfumo wa Sponsored Ad kwa wafanya biasharabiashara wadogo wadogo.

Mwanzoni alipo ruhusu watu walikuwa wanapiga sana HeLa. Maelfu ya wafanya biashara walitoka kwenye kuwa wafanya biashara wadogo Hadi mamilionea.

Jambo hilo Lili kuwa kinyume na Sera zao mabepari ndio maana jamaa aliingilia Kati kimya kimya.

Sasa hivi sio Afrika sio Ulaya sio Asia sio Marekani sio Australia kilio kikubwa cha wafanya biashara ni Sponsored Ad hazifanyi kazi.

Wanahangaika bure tu masikini anae wabania ni Zuckerberg mwenyewe.



Ukiona tangazo limeenda kwa Sponsored ad at Facebook au Instagram it's either tangazo ambalo ni non for profit au wimbo au mambo ya kisiasa etc lakini sio mjasiriamali kutangaza biashara yake.

Sponsored ad ambayo ina work ni You Tube only napo iwe ni wimbo.

Nimeandika huu Uzi kwa sababu Leo nimekutana na jamaa ninae mfahamu ambae ameanza kuhangaika na sponsored Ad toka elfu 2017 analiwaga hela tu nothing works..


Thank me later
 
Labda kama hujui kufanya matangazo imekugomea wewe

Sponsored ads ipo poa sana, imenisaidia sana kupata wateja na wauzaji wa bidhaa kwa gharama ndogo bila dalali wala winger.

Pia sio facebook tu, kuna google ads pia wanaruhusu kuboost video za youtube kufikia watu wengi, Kuna dogo anaimba, video yake ilikuwa na views 64 tu, kajikusanya akaniletea elf 80 na mimi nikaongeza kidogo video yake ina views elfu 13.
 
Na mimi naandika hapa nikiwa kama social media manager kwenye kampuni zaidi ya moja, adds work effectively, kila kitu kina mafanikio na setbacks, kila sector kuna watu waliofanikiwa na ambao hawajafanikiwa hivyo usije na conclusion za kitoto hapa jukwaani
 


Hii si kweli. Uki fail wewe si wote watafail. Ume fail wewe peke yako. Wengine wanapiga pesa vizuri tu. Umeandika pumba eti Mark hataki wewe uwe tajiri. Utajiri wake wewe hujifikia hata theluthi usimsingizie upuuzi.
 
Unatumia sponsored ad gani hio au ya nanjilinji maana ya meta inafanya kazi vizuri tu.
Haifanyi kazi mkuu ndio maana siku hizi hadi ma experts sponsored ad wapo kwa sababu kila mtu ana complain haifanyi kazi
 
Hii si kweli. Uki fail wewe si wote watafail. Ume fail wewe peke yako. Wengine wanapiga pesa vizuri tu. Umeandika pumba eti Mark hataki wewe uwe tajiri. Utajiri wake wewe hujifikia hata theluthi usimsingizie upuuzi.
Yes Mark ni shetani kabisa na hataki Uwe tajiri. Akiona unakuwa visited na watu wengi kwenye profile lako lazima akuletee usenge wake wa kukuuliza kama wewe ni mtu au roboti
 
Haifanyi kazi mkuu ndio maana siku hizi hadi ma experts sponsored ad wapo kwa sababu kila mtu ana complain haifanyi kazi
sio kila mtu labda useme watu wengi, kuna issue za SEO,SME,reels,tags,CTA,algorithm kama mtu hajuikuoptimise lazima alalamike
 
sio kila mtu labda useme watu wengi, kuna issue za SEO,SME,reels,tags,CTA,algorithm kama mtu hajuikuoptimise lazima alalamike
Unataka kuniambia Mark hataki hela za mamilioni ya wafanya biashara wanao feli kutangaza via sponsored ad?

Unataka kuniambia hasikii hayo malaamiko ya watu?

Mbona mwanzo ilikuwa easy?
 
Kwa akili hii kuwa makini usije ukabebwa ukawekwa kwenye sufuria watu wakidhani ni kiazi
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Isipofanya kazi kwako haimaanishi ni wote mkuu.

Tatizo lako mbishi sana, una nyuzi nyingi za kusifia kupeleka watoto shule za kata unaponda shule private πŸ˜‚πŸ˜‚
Ona madhara yake ndiyo haya sasaπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…