Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Updates
Tunataka kuona Polisi, usalama wa taifa, jeshi wakitimiza majukumu yao, na sio kutumika kama mbeleko ya kuibeba CCM ili wapate ushindi.
Katika uchaguzi wa serikali za mitaa tunao ushahidi wa kutosha askari polisi alikutwa na rundo la kura akijitahidi kura hizo zinawekwa kwenye sanduku la kura na hiyo sio kazi ya polisi Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Dorothy Semu aliasema kwenye mkutano wa operesheni ya majimaji katika mkoa wa Kigoma