GE2025 Dorothy Semu: ACT tunashiriki uchaguzi mkuu 2025 na tutashinda kwa kishindo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Updates
Tunataka kuona Polisi, usalama wa taifa, jeshi wakitimiza majukumu yao, na sio kutumika kama mbeleko ya kuibeba CCM ili wapate ushindi.

Katika uchaguzi wa serikali za mitaa tunao ushahidi wa kutosha askari polisi alikutwa na rundo la kura akijitahidi kura hizo zinawekwa kwenye sanduku la kura na hiyo sio kazi ya polisi Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Dorothy Semu aliasema kwenye mkutano wa operesheni ya majimaji katika mkoa wa Kigoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…