Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
ok.πMwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu amesema Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba anaendelea vizuri.
Jaji Warioba alipata shida ya kiafya na kudondoka ghafla wakati akihutubia katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari hali ya kisiasa nchini unaofanyika jijini Dar es Salaam.
CCM wanaitaka roho yake, wakimalozana na roho ya Warioba, wanaifuata roho ya mama Anna TibaijukaNikiwa kwenye public transport akaniambia Jaji ndio hivyo tena ameanguka jukwaani na amekwendaβ¦! Nilipofuatilia baadaye jioni nikiwa home nilifurahi mno kusikia kuwa yupo hospitali hali yake inaimarika. Ameponea, atukuzwe Mungu!
In fact Mzee ni mgonjwa na afya yake imezorota mno,Nikiwa kwenye public transport akaniambia Jaji ndio hivyo tena ameanguka jukwaani na amekwendaβ¦! Nilipofuatilia baadaye jioni nikiwa home nilifurahi mno kusikia kuwa yupo hospitali hali yake inaimarika. Ameponea, atukuzwe Mungu!
Naambiwa anamalizwa polepole na watu flani wasiopenda kukosolewa. Kwani Nchimbi yupo wapi?In fact Mzee ni mgonjwa na afya yake imezorota mno,
na wanaharakati uchwara walimlazimisha tu aende kua mgeni rasmi kwenye kongamano lao, but ukweli ni kwamba Mzee Warioba hayupo fiti kiafya na ukichanganya na uzee na pengine lishe duni, ni wazi kuanguka jukwaani jana haikua jambo la kushangaza hata kidogo.
Alianza kukata pumzi dakika 2 kabla ya kuanguka, but hakuna aliegundua mabadiliko ya tone yake wakati anazungumza. In fact, alikua anapigiza kichwa mbaya sana, angefanikiwa kufikisha kichwa chake sakafuni.
Ni wazi wanaharakati uchwara wanalenga kumuangamiza kwa fedheha akiwa jukwaani, ili aonekane kaanguka kwasababu ya njaa, kumbe mzee ni mgonjwa.
Nashauri,
ikiwa lengo la wanaharakati hao bado ni kumuangamiza Mzee Warioba ambae afya yake ni dhaifu sana kwa sasa na anahitaji medical attention na mapumziko zaidi, basi walau wawe wanampa sehemu ya kukaa ndipo azungumze, ili hata ikitokea amekwama kama jana, basi awe amekaa π
kibibilia,Naambiwa anamalizwa polepole na watu flani wasiopenda kukosolewa. Kwani Nchimbi yupo wapi?
Ukweli katika dini zote, ni upanga mkali ukatao pande zote mbili za upanga.CCM wanaitaka roho yake, wakimalozana na roho ya Warioba, wanaifuata roho ya mama Anna Tibaijuka
Wanaweza wasikuelewe kutokana na mtazamo wao.In fact Mzee ni mgonjwa na afya yake imezorota mno,
na wanaharakati uchwara walimlazimisha tu aende kua mgeni rasmi kwenye kongamano lao, but ukweli ni kwamba Mzee Warioba hayupo fiti kiafya na ukichanganya na uzee na pengine lishe duni, ni wazi kuanguka jukwaani jana haikua jambo la kushangaza hata kidogo.
Alianza kukata pumzi dakika 2 kabla ya kuanguka, but hakuna aliegundua mabadiliko ya tone yake wakati anazungumza. In fact, alikua anapigiza kichwa mbaya sana, angefanikiwa kufikisha kichwa chake sakafuni.
Ni wazi wanaharakati uchwara wanalenga kumuangamiza kwa fedheha akiwa jukwaani, ili aonekane kaanguka kwasababu ya njaa, kumbe mzee ni mgonjwa.
Nashauri,
ikiwa lengo la wanaharakati hao bado ni kumuangamiza Mzee Warioba ambae afya yake ni dhaifu sana kwa sasa na anahitaji medical attention na mapumziko zaidi, basi walau wawe wanampa sehemu ya kukaa ndipo azungumze, ili hata ikitokea amekwama kama jana, basi awe amekaa π
π€£π€£π€£π€£π€£πSamia ni kisimi
Hapana bwana Yule warioba ni Mzee Sana hata hii midahalo ya kusimama muda mwingi ni vema akapumzikaCCM wanaitaka roho yake, wakimalozana na roho ya Warioba, wanaifuata roho ya mama Anna Tibaijuka
Kwa umri wa Mzee Warioba ni suala la muda tu!CCM wanaitaka roho yake, wakimalozana na roho ya Warioba, wanaifuata roho ya mama Anna Tibaijuka
Yes,Wanaweza wasikuelewe kutokana na mtazamo wao.