Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Nafikiri umemuelewa vibaya mleta mada, hajasema kua mhenga ni vibaya yeye amemuona Dotnata labda majuzi alivoanza kuimbwa na FM Academia akafikiri labda ndio kachipukia hapo , maana anamshangaa alivyo; lakini kwa sisi wahenga wenzie tunamfahamu huyo dada kitambo sana. Kamuongelea kwa vile alikua public figure. Hata hivyo kuna jamaa kasema sijui alipata ajali ya moto maana wahenga wenzake bado wapo vizuri labda na mikorogo pia.Kwani I wa mhenga ni dhambi? Uzee ni fahari, siyo wote wanajaliwa kufika. heshimu Watu nawe utakuwa mhenga, hata ungekuwa malkia/ mtalme.
Kuna siku nilimuona Dotnata, amekuwa mtu mzima. Kweli maisha ya mwanadamu ni kama maua.
Aisee tattoo mkorogo pini hadi kwenye meno 😮😆
Kejel za reja reja hiz hapamaShez a pretty face though..uzuri wa asili anao
No..nilimaanisha...Kejel za reja reja hiz hapama
Na wanaume pia.Huyu maza kaanza kujichubua kitambo Sana acha ababuke tu, ni amekuwa mfano mzuri wa madhara ya mikorogo Kwa wanawake wanaotumia mikorogo
Uongo si yeye, kuna kanisa flani nilikuwa naye 2019 alikuwa na qfya njema ila alikuwa anashida ya miguu
Sasa huyo hapo ni fake??? Hivi unadhani huyo Dotnata ana miaka 30??? Huyo ni mhenga haswa anahit 60 - 65. Mie nimemfahamu kitambo sana ndio maana hio picha naona "ni yeye" in TID voice 🤣 🤣 🤣 🤣Uongo si yeye, kuna kanisa flani nilikuwa naye 2019 alikuwa na qfya njema ila alikuwa anashida ya miguu
Mim mwenyewe najua yuko above 60, na mtoto wake wa kike nimempita four yearsSasa huyo hapo ni fake??? Hivi unadhani huyo Dotnata ana miaka 30??? Huyo ni mhenga haswa anahit 60 - 65. Mie nimemfahamu kitambo sana ndio maana hio picha naona "ni yeye" in TID voice 🤣 🤣 🤣 🤣
So, what's your point??then???Mim mwenyewe najua yuko above 60, na mtoto wake wa kike nimempita four years
Uzee umemvaa ila sio kama ile pichaSo, what's your point??then???