Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Nafikiri umemuelewa vibaya mleta mada, hajasema kua mhenga ni vibaya yeye amemuona Dotnata labda majuzi alivoanza kuimbwa na FM Academia akafikiri labda ndio kachipukia hapo , maana anamshangaa alivyo; lakini kwa sisi wahenga wenzie tunamfahamu huyo dada kitambo sana. Kamuongelea kwa vile alikua public figure. Hata hivyo kuna jamaa kasema sijui alipata ajali ya moto maana wahenga wenzake bado wapo vizuri labda na mikorogo pia.Kwani I wa mhenga ni dhambi? Uzee ni fahari, siyo wote wanajaliwa kufika. heshimu Watu nawe utakuwa mhenga, hata ungekuwa malkia/ mtalme.