Dotnata amekuwa mhenga

Dotnata amekuwa mhenga

Kwani I wa mhenga ni dhambi? Uzee ni fahari, siyo wote wanajaliwa kufika. heshimu Watu nawe utakuwa mhenga, hata ungekuwa malkia/ mtalme.
Nafikiri umemuelewa vibaya mleta mada, hajasema kua mhenga ni vibaya yeye amemuona Dotnata labda majuzi alivoanza kuimbwa na FM Academia akafikiri labda ndio kachipukia hapo , maana anamshangaa alivyo; lakini kwa sisi wahenga wenzie tunamfahamu huyo dada kitambo sana. Kamuongelea kwa vile alikua public figure. Hata hivyo kuna jamaa kasema sijui alipata ajali ya moto maana wahenga wenzake bado wapo vizuri labda na mikorogo pia.
 
Huyu maza kaanza kujichubua kitambo Sana acha ababuke tu, ni amekuwa mfano mzuri wa madhara ya mikorogo Kwa wanawake wanaotumia mikorogo
 
Hawa wadada wa siku hizi wangekuwa wanasikiliza nyimbo na tungo za zamani wangejifunza....Mayasa wa Marijani Rajabu.
 
Kama ww ni mwanaume Na umemuongelea vibaya huyo mama jichunguze vizur una elements za KE.
 
Vipodozi vikali haviwezi mwacha mtu salama, kamcheki luiza ni mulemule mweusi kama dotinata
 
Uongo si yeye, kuna kanisa flani nilikuwa naye 2019 alikuwa na qfya njema ila alikuwa anashida ya miguu
Sasa huyo hapo ni fake??? Hivi unadhani huyo Dotnata ana miaka 30??? Huyo ni mhenga haswa anahit 60 - 65. Mie nimemfahamu kitambo sana ndio maana hio picha naona "ni yeye" in TID voice 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sasa huyo hapo ni fake??? Hivi unadhani huyo Dotnata ana miaka 30??? Huyo ni mhenga haswa anahit 60 - 65. Mie nimemfahamu kitambo sana ndio maana hio picha naona "ni yeye" in TID voice 🤣 🤣 🤣 🤣
Mim mwenyewe najua yuko above 60, na mtoto wake wa kike nimempita four years
 
Back
Top Bottom