Dotnata amekuwa mhenga

Dotnata amekuwa mhenga

Dotinata alipata ajali ya moto usoni sasa alivyopona akawa anajaribu kutumia vipodozi vikali ili kuondoa ule weusi wababuko wa moto bila kujua anazidi kuharibu ngozi yake,

Ana Pacha wake yeye yupo vizuri tu tena mweusi
 
Pamoja na ajali ya moto lakini itakua sio usoni, huyu dada unajua mkorogo ndio kwake ulikua toka enzi hizo hapo za Agip Msimbazi. Watu tunamfahamu huyo muhaya kitambo ujue..huo hapo ni athari za mkorogo tyuuu.
 
Alikua pisi kali kwa wakati uleee[emoji2]
 
Attachments

  • IMG_2162.jpg
    IMG_2162.jpg
    13.7 KB · Views: 12
  • IMG_2161.jpg
    IMG_2161.jpg
    54.2 KB · Views: 9
Kheee hivi wanawake nani aliwaroga na ma mikorogo? Yani mimi na weusi wangu napaka tuu vaseline ya watoto
Alipata ajali ya Moto ukaaribu ngozi yake, hata wewe ukipata ajali ya Moto ngozi yako haitakua the same km hapo kabla
 
We Abdala, unadhani kila mtu anaishi daslamu?

Weka maelezo na picha ili na sisi wa Tandahimba tupate cha kuchangia.

Nimekwazika sana!
Unaishije nje ya dar aisee ukiliwa n'a simba je
 
Back
Top Bottom