Doto Biteko mwanasiasa asiye na kiburi

Doto Biteko mwanasiasa asiye na kiburi

situjadiriane

Member
Joined
Jan 5, 2023
Posts
41
Reaction score
49
Hiki ndicho unachoweza kusema juu ya Waziri wa Madini Doto Biteko ni mwanasiasa mpole mtaratibu asiye na Tamaa ya madaraka na asiye na kiburi.

Ni mwanasiasa wa kutolewa mfano pamoja na kuongoza Wizara nyeti Maisha yake ni ya kawaida wakati mwingine tunakumbana naye kwenye daladala.

Ana heshima kwa wakubwa na wadogo. Hongera Rais Samia kwa kulea huyo kijana Doto Biteko
 
We humjui Doto wewe.

Hata kama mnatumwa muwe mnaangalia kazi za kuchukua.
Mimi sijatuma na siwezi kutumwa na muamini ni mtu mtulivu mpole mnyenyekevu Hana Tamaa. Anajua kutunza Mali ya umma Wa Tanzania tuondoe unafiki huyu kijana nizawadi kubwa kwa Wa Tanzania Tumuombee viva Doto Biteko
 
Hiki ndicho unachoweza kusema juu ya Waziri wa Madini Doto Biteko ni mwanasiasa mpole mtaratibu asiye na Tamaa ya madaraka na asiye na kiburi.

Ni mwanasiasa wa kutolewa mfano pamoja na kuongoza Wizara nyeti Maisha yake ni ya kawaida wakati mwingine tunakumbana naye kwenye daladala.

Ana heshima kwa wakubwa na wadogo. Hongera Rais Samia kwa kulea huyo kijana Doto Biteko

Au umeamua kumpigia kampeni au humfahamu.

Kama tunataka tuongozwe na watu wasafi, watu wanaochukia rushwa, wakweli wa nafsi na matendo, huyu kamwe hawezi kuwa na sifa ya kuwa kiongozi.

Kwenye gold rush zote ana mgao wake kupitia watu wake. Na ndiye mhamasishaji wa uvamizi wa leseni za watu kupitoa watu wake. Watu wake wana kibali cha kuvamia leseni ya mtu yeyote au kampuni yoyote.
 
Inaonekana Huna uzalendo.mtu aliyejitolea kuwa mkweli na mwaminifu kama Biteko unapo mshutumu siyo mbingu Tu hata shetani anakushangaa. Siyo kila aliye Ccm achukiwe na kusingiziwa mtu achukumiwe kwa matendo yake. Huyo kijana ni musafi
 
Au umeamua kumpigia kampeni au humfahamu.

Kama tunataka tuongozwe na watu wasafi, watu wanaochukia rushwa, wakweli wa nafsi na matendo, huyu kamwe hawezi kuwa na sifa ya kuwa kiongozi.

Kwenye gold rush zote ana mgao wake kupitia watu wake. Na ndiye mhamasishaji wa uvamizi wa leseni za watu kupitoa watu wake. Watu wake wana kibali cha kuvamia leseni ya mtu yeyote au kampuni yoyote.
Kabisa,huyu hata kuishikilia hiyo nafasi ilikuwa ni majaliwa,tuulizeni sisi tulioko kwenye madini.
 
Au umeamua kumpigia kampeni au humfahamu.

Kama tunataka tuongozwe na watu wasafi, watu wanaochukia rushwa, wakweli wa nafsi na matendo, huyu kamwe hawezi kuwa na sifa ya kuwa kiongozi.

Kwenye gold rush zote ana mgao wake kupitia watu wake. Na ndiye mhamasishaji wa uvamizi wa leseni za watu kupitoa watu wake. Watu wake wana kibali cha kuvamia leseni ya mtu yeyote au kampuni yoyote.
Duh!
 
Back
Top Bottom