Doto Biteko mwanasiasa asiye na kiburi

Doto Biteko mwanasiasa asiye na kiburi

Mbambamba halafu husemi amesema kitu ujinga huu.
oh nkajua mmetizama pia, ni mengi but alikua akijibu baadha ya hoja za wabunge (as a group cas asingeweza jibu mojamoja)

hasa suala la nishati ya umeme na gas, ambazo ndo wabunge wengi walihitaji ufafanuzi wa maoni ya wananchi wao kabla wapitishe budget ya wizala, la sivyo wangeshikilia shilling budget isipite
 
Mvua hizi zinakuchanganya. Hoja alizojibu huzisemi unawaza kungonoka tu na Mh Waziri.
oh nkajua mmetizama pia, ni mengi but alikua akijibu baadha ya hoja za wabunge (as a group cas asingeweza jibu mojamoja)

hasa suala la nishati ya umeme na gas, ambazo ndo wabunge wengi walihitaji ufafanuzi wa maoni ya wananchi wao kabla wapitishe budget ya wizala, la sivyo wangeshikilia shilling budget isipite
 
Sema sifa nzuri alizonazo zinazidi makando kando aliyo nayo! Lakini nadhani anaandaliwa kuwa PM wa baadaye!
 
Sema sifa nzuri alizonazo zinazidi makando kando aliyo nayo! Lakini nadhani anaandaliwa kuwa PM wa baadaye!
well i think is fine for now, nchi inahitaj watu kama biteko for now, as long as anafaa issue za uongozi serikalini, hayo makando mengine personal hayatuhusu, ila yasiwe ya kuondoka nnje ya mstari na kwenda kinyume na sheria, hapo yatatuhusu na tutamfokea[emoji28]
 
Wizara yake nikama Mandongatu. Maji yakipungua hakuna umeme na mvua ikinyesha umeme unakatwa eti maji mengi
Wizara imekaa kimandongandonga
 
Dotto Biteko ni mtusi
Acha hizo!, tunajiandaa kwa Utangamano, hivyo hata akiwa, as long as he is good, kuna tatizo gani?.
Mbona nanii ilikuwa ni mtu wa Nchumbiji na akawa?, na yule mwingine alikuwa Mhutu, sasa huyu akiwa Mtusi kuna tatizo gani?.

Tena kwa taarifa yako, hata, yule wa kwanza, mtoto wa Chifu alikuwa ni ... wa kufikia tuu, biological alikuwa ni Mtusi!.
Hebu tuacheni ukabila!.
P
 
Naunga mkono hoja, tena kwa geopolitics za siasa za nchi yetu, 2025 VP or PM mmoja ni lazima atoke Kanda ya Ziwa, hivyo we have started getting candidates!.
P
Mkuu huyu sio muumba,ana mapungufu mengi tu,pammoja kuwa na Phd hajaiva,is short sighted, is just a cadet,means a students Especially kwenye offshore oil exploration.
Tumsaidie kwanza ili asije kuleta maafa period.
 
Back
Top Bottom