Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ma- ccm yashaanza kupanga safu ya uongozi tayari.. Tanzania ni hasara kubwa.Naunga mkono hoja, tena kwa geopolitics za siasa za nchi yetu, 2025 VP or PM mmoja ni lazima atoke Kanda ya Ziwa, hivyo we have started getting candidates!.
P
Naunga mkono hoja, tena kwa geopolitics za siasa za nchi yetu, 2025 VP or PM mmoja ni lazima atoke Kanda ya Ziwa, hivyo we have started getting candidates!.
P
Pascal MayallaNaunga mkono hoja, tena kwa geopolitics za siasa za nchi yetu, 2025 VP or PM mmoja ni lazima atoke Kanda ya Ziwa, hivyo we have started getting candidates!.
P
slowly utabiri unatimiaNaunga mkono hoja, tena kwa geopolitics za siasa za nchi yetu, 2025 VP or PM mmoja ni lazima atoke Kanda ya Ziwa, hivyo we have started getting candidates!.
P
Naunga mkono hojaDotto Biteko ni mtusi
Sawa mkuu, ebu tuambie sasaKabisa,huyu hata kuishikilia hiyo nafasi ilikuwa ni majaliwa,tuulizeni sisi tulioko kwenye madini.
mzee huwa anaishia kupanga safu tu 😀Umeandika kinafiki.
Raisi Kaamua ndio maana kimerudiHiki cheo CHA naibu waziri mkuu nakumbuka kiliishia Kwa mrema...why sasa kirudishwe..?...
wakuu i hope mko salama sana.
guys niseme ukweli, sijui why sikuwahi kumuelewa huyu waziri mkuu (naibu) before. I think sikuwa namfatilia thats why, but aisee , hapa mama samia aliweza,, na maybe hata Majaliwa ni vile tu ishatokea ye ndo waziri mkuu but Dotto Biteko alifaa kua main prime minister na sio majaliwa (vile tu sjui kwa nini nampendaga tu khasim majaliwa hata sjui kwa nini [emoji3], hua kuna mda anazingua mpaka, but still namkubali[emoji16], anyway
nmeangalia hoja alizojibu leo za wabunge mh dotto, aisee yuko vizuri, anajibu in facts , anajishusha, na pia very straight forward, NAMPA MAUA YAKE aisee, shida ilokuepo ya umeme amefafanua vizuri kabisa, hata nngekua bungeni, at first akiwasilisha hoja ningeshikilia shilling ya wizara yake ya nishati cas tanesco nlikua nawachuki mpaka basi, but kwa uwasilishaji wake wa leo, ningeiachia shilingi yake.
vile tu nmeolewa but ningempa yote leo[emoji23], natania bana , apewe maua yake huyu naibu waziri mkuu na waziri wa nishati.
Una maanisha ni muaminifu sana au hujawahi kujaribiwa?nmeolewa but ningempa yote leo![]()
Una matatizo ya ubongowakuu i hope mko salama sana.