covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Na huu ndio maana ya ujinga sasa...A). Mfanyabiasha Maarufu wa Magari nchini Ndugu Dotto Magari ameonekana kwenye mitandao akizungumzia namna Wasomi nchini wasivyojitambua Wala kutumia usomi wao kuongeza kipato. Na kutishia kwenye dimbwi la umaskini akifanikiwa Sana ananunua Hari ya IST Tena Kwa mikopo wa benki.
B). Namnukuu "wasomi mmesomea Njaa" jaman lolote.
C). Mheshimiwa Dotto ana hoja ya msingi kuhusu kubweteka Kwa Wasomi wetu. Asikilizwe, ana hoja.
NB: Wasomi msikilizeni Kwa makini, msitumie mihemko kumjibu. Bali jibuni hoja kwa hoja. Msimtukane Wala kumbughudhi hapo ndo kipimo cha usiku wenu kitaonekana.
Ukiwa unaona elimu ni mali basi jaribu ujingaa aah..
Mjinga upenda majivuno..upena majisifu..asichokijua ujifanya anajuaaaa..