Doto Magari ana hoja kuhusu Wasomi, asikilizwe!

Doto Magari ana hoja kuhusu Wasomi, asikilizwe!

Bado anatakiwa kupigwa msasa,kama huna akili sasa utaweza vipi kusoma,labda angesema wasomi wana akili ila maarifa hawana hapo kidogo ningemuelewa.
Mkuu,huwezi kuikwepa elimu hata siku moja,
Umuhimu wa elimu utakuwepo mpaka mwisho wa Dunia,

Hiyo simu aliyoitumia kujirekodi ni matokeo ya elimu,Gari alilopanda ni matokeo ya elimu,Nguo alizovaa,Saa aliyovaa,Viatu alivyovaa,pamoja na vingi anavyovitumia katika maisha yake ya kila siku,ni matokeo ya elimu,

Mpaka Nyumba anayoishi,ni matokeo ya elimu,

Asiyekua na elimu kua na hela kuliko mwenye elimu haijustify kua Elimu sio kitu.
 
A). Mfanyabiasha Maarufu wa Magari nchini Ndugu Dotto Magari ameonekana kwenye mitandao akizungumzia namna Wasomi nchini wasivyojitambua Wala kutumia usomi wao kuongeza kipato. Na kutishia kwenye dimbwi la umaskini akifanikiwa Sana ananunua Hari ya IST Tena Kwa mikopo wa benki.

B). Namnukuu "wasomi mmesomea Njaa" jaman lolote.

C). Mheshimiwa Dotto ana hoja ya msingi kuhusu kubweteka Kwa Wasomi wetu. Asikilizwe, ana hoja.

NB: Wasomi msikilizeni Kwa makini, msitumie mihemko kumjibu. Bali jibuni hoja kwa hoja. Msimtukane Wala kumbughudhi hapo ndo kipimo cha usiku wenu kitaonekana.

Anauza magari yakiharibika anatengeneza yeye? Kama shule ilimkataa akomae na biashara, kuna wengine shule iliwakubali akitaka kujenga ghorofa atawafuata wasomi maana hata Raman hajui kutengeneza
 
Maisha ya katalizumu mwenye degree anamsikiliza mwenye zero ,Super Feo ni darasa la 7 lakini ni Bilionea.

Hakuna msomi tajiri ,ukiona msomi tajiri basi ameiba kupitia peni yake ,lakini hawa type za kina Dotto magari ,mwijaku vipaji vyoa ndiyo vinawapa maokoto tena ya maana ,mwijaku alisema kuna baadhi ya makampuni yanam,lipa hadi milioni 50 kwa kazi ya wiki mbili au mwezi hiyo nje ya matumizi hiyo ni net ,gharama za hotel,nauli,chakula juu ya kampuni.
Kama umesoma inabidi unyang'anywe vyeti kwasababu unayumbishwa na watu wajinga na hujiamini. Mengi alikuwa kilaza? Halafu milioni 50 unaichukuliaje ndugu? Ingekuwa Mwijaku analipwa 50m kwa wiki 2 ingeonekana tu kupitia matendo yake. Hela ni kama ushuzi.. haifichiki kirahisi.
 
Mkuu,huwezi kuikwepa elimu hata siku moja,
Umuhimu wa elimu utakuwepo mpaka mwisho wa Dunia,

Hiyo simu aliyoitumia kujirekodi ni matokeo ya elimu,Gari alilopanda ni matokeo ya elimu,Nguo alizovaa,Saa aliyovaa,Viatu alivyovaa,pamoja na vingi anavyovitumia katika maisha yake ya kila siku,ni matokeo ya elimu,

Mpaka Nyumba anayoishi,ni matokeo ya elimu,

Asiyekua na elimu kua na hela kuliko mwenye elimu haijustify kua Elimu sio kitu.
Walio karibu yake wamwambie hana akili hata ya kuzaliwa
 
Moral Of The Story: Usipoteze mamilioni yako kusomesha watoto kwenye shule za English Medium kwa sababu hakuna mantiki wala ulazima wowote wa kufanya hivyo.

Toa watoto wako ENGLISH Medium haraka sana wapeleke Kayumba
Ushauri wako ni wa kipumbavu.
 
Doto
A). Mfanyabiasha Maarufu wa Magari nchini Ndugu Dotto Magari ameonekana kwenye mitandao akizungumzia namna Wasomi nchini wasivyojitambua Wala kutumia usomi wao kuongeza kipato. Na kutishia kwenye dimbwi la umaskini akifanikiwa Sana ananunua Hari ya IST Tena Kwa mikopo wa benki.

B). Namnukuu "wasomi mmesomea Njaa" jaman lolote.

C). Mheshimiwa Dotto ana hoja ya msingi kuhusu kubweteka Kwa Wasomi wetu. Asikilizwe, ana hoja.

NB: Wasomi msikilizeni Kwa makini, msitumie mihemko kumjibu. Bali jibuni hoja kwa hoja. Msimtukane Wala kumbughudhi hapo ndo kipimo cha usiku wenu kitaonekana.

A). Mfanyabiasha Maarufu wa Magari nchini Ndugu Dotto Magari ameonekana kwenye mitandao akizungumzia namna Wasomi nchini wasivyojitambua Wala kutumia usomi wao kuongeza kipato. Na kutishia kwenye dimbwi la umaskini akifanikiwa Sana ananunua Hari ya IST Tena Kwa mikopo wa benki.

B). Namnukuu "wasomi mmesomea Njaa" jaman lolote.

C). Mheshimiwa Dotto ana hoja ya msingi kuhusu kubweteka Kwa Wasomi wetu. Asikilizwe, ana hoja.

NB: Wasomi msikilizeni Kwa makini, msitumie mihemko kumjibu. Bali jibuni hoja kwa hoja. Msimtukane Wala kumbughudhi hapo ndo kipimo cha usiku wenu kitaonekana.

Atakuja kufeli vibaya sana huyu

Hii ni Dunia
 
Rudia kusoma tena ukiona msomi tajiri jua amekwiba ....sizungumzii ma CEO wanaolipwa milioni 50 kwa mwezi hao ni masikini tu ndiyo maana still wameajiriwa....Wasomi mtajari ni design ya late Mengi ,Mafuruki ,walikuwa wanarun bizness zao ila behind ya kuwa matajiri kila mtu anajua.
Utajiri ni utajiri haijalishi umeajiriwa au umejiajiri. Ili mfanyabiashara aweze kuingiza Tsh 50m kwa mwezi kama net profit inabidi awe na mauzo yasiyopungua Tsh 350m kwa mwezi. Kwahiyo usichukulie poa mshahara wa mfanyakazi yeyote. Waliojiajiri wanachofaidi ni uhuru ila kwenye pesa usidhani ni rahisi tu.
 
Hujasikiliza Bill Gate Bililionea namba moja duniani hulala masaa manne tu katika saa 24

Hujamsikiliza Mo Dewji Bilionea kulalla kwake hulala usiku wa manane na kuamka saa 10 alfajiri

Billy Gates kaajiri mamilioni dunia nzima na muda mwingi kazini huyo bwege Dotto Magari ameajiri wangapi kununua Kigali kibovu tu lazima uongee naye yeye hana hata Secretary wa kupokea simu ofisi yake simu yake binafsi ya mkononi

Kulala sana unskuona sifa lofa wewe
Hujamuelewa.
 
Jibu hoja zake achana na hayo....
Hata wewe ukifika stend unamuhitaji mbeba mizigo.

Kwenye maisha yako wewe msomi zipo hatua kibaoo unamuhitaji school failure.

TWENDE KWENYE HOJA ZAKE .....

Ni kweli, wapo madaktari kibaoo, marubani kibaoo, maengeer kibao, wote uliowataja kibaooo WANAMARINGOOOO ILA MFUKONI HAKUNA KITU na KUTUMIA AKILI "OUT OF THERE DEGREES"" hawataki

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Pesa sio kipimo cha akili hata malaya wanaojiuza na majambazi wauaji wana pesa
 
Ukiumwa unaharisha huko mbona unasumbua madaktari si ujitibu mwenyewe bwege wewe kama kusoma hakuna maana
Daktari asingesoma huyo Doto magari angetibiwa na hayo magari yake takataka toka majalala ya Japan anayouza huyo bwege?

Ndege anazopanda ATCL mfano marubani wasomi wasingesoma angeendesha yeye? Au treni ya SGR yeye angeendesha kama kusingekuwepo na watu walioamua kusoma?

Madaktari huyo bwege Dotto magari akija hosputalini kutibiwa na yeyote anayedharau wasomi hadharani iwe bungeni nk msimtibu na mwambieni kabisa elimu haina maana na kusoma hakuna maana ikiwemo.kusomea udaktari nenda kwa wasiosoma wenzio wakakutibu bwege wewe

Wasomi ifike mahali mchachamae kuleta heshima kwenye elimu

Watu kama hawa wakikanyaga hospital wafanyizieni

Yuko na kule tiktok wasomi na wapenda wasomi susieni magari yake asinine mtu kwake
Cha kukuongezea tu mkuu ni kwamba huyo mburula hauzi magari yake binafsi, ni dalali wa kuuza magari ya wanaume wenzie yeye ni mpiga domo tu
 
Back
Top Bottom