The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkuu,huwezi kuikwepa elimu hata siku moja,Bado anatakiwa kupigwa msasa,kama huna akili sasa utaweza vipi kusoma,labda angesema wasomi wana akili ila maarifa hawana hapo kidogo ningemuelewa.
Umuhimu wa elimu utakuwepo mpaka mwisho wa Dunia,
Hiyo simu aliyoitumia kujirekodi ni matokeo ya elimu,Gari alilopanda ni matokeo ya elimu,Nguo alizovaa,Saa aliyovaa,Viatu alivyovaa,pamoja na vingi anavyovitumia katika maisha yake ya kila siku,ni matokeo ya elimu,
Mpaka Nyumba anayoishi,ni matokeo ya elimu,
Asiyekua na elimu kua na hela kuliko mwenye elimu haijustify kua Elimu sio kitu.