Msomi anatakiwa:-Usiwalaumu sana hao maana hali yao ya uchumi ni duni ndio maana wako radhi kununuliwa .
Umaskini sio wa pesa tu pia wa elimuUmasikini ni LAANA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kama umesoma inabidi unyang'anywe vyeti kwasababu unayumbishwa na watu wajinga na hujiamini. Mengi alikuwa kilaza? Halafu milioni 50 unaichukuliaje ndugu? Ingekuwa Mwijaku analipwa 50m kwa wiki 2 ingeonekana tu kupitia matendo yake. Hela ni kama ushuzi.. haifichiki kirahisi.
Asiefaa kafaa 😂
Hizo fikra potofu achana nazo mkuu. Sasa hivi vijana wadogo toka chuo kikuu chini ya miaka 25 wanakimbiza na kupiga hela hatari. Nimeona vijana wadogo sana pale Tunduma wana hela kama zote.Nimesema ukiona msomi tajiri basi ujue kakwiba mpunga kwa kutumia peni....Mengi alikuwa Tajiri lakini behind the scene inajulikana source ya utajiri wake.
Mwijaku amesoma lakini vyeti amevipiga kibiriti ,Pesa ameipata kwa kujichetua.
Hizo fikra potofu achana nazo mkuu. Sasa hivi vijana wadogo toka chuo kikuu chini ya miaka 25 wanakimbiza na kupiga hela hatari. Nimeona vijana wadogo sana pale Tunduma wana hela kama zote.
Tz kila kitu kinawezekana...mhuni kuitwa mheshimiwa n.kA). Mfanyabiasha Maarufu wa Magari nchini Ndugu Dotto Magari ameonekana kwenye mitandao akizungumzia namna Wasomi nchini wasivyojitambua Wala kutumia usomi wao kuongeza kipato. Na kutishia kwenye dimbwi la umaskini akifanikiwa Sana ananunua Hari ya IST Tena Kwa mikopo wa benki.
B). Namnukuu "wasomi mmesomea Njaa" jaman lolote.
C). Mheshimiwa Dotto ana hoja ya msingi kuhusu kubweteka Kwa Wasomi wetu. Asikilizwe, ana hoja.
NB: Wasomi msikilizeni Kwa makini, msitumie mihemko kumjibu. Bali jibuni hoja kwa hoja. Msimtukane Wala kumbughudhi hapo ndo kipimo cha usiku wenu kitaonekana.
umeona eeh, wanatumalizia tu bando na mambo yao ya kipuuziNajutia muda wangu nilioupoteza Kwenye Uzi wa kipumbavu
Kwa hiyo unataka kusema vinatofauti??Watu wengi wanachanganya kati ya "Akili" na "Elimu" kitu ambacho ni tofauti kabisa ..
Elimu unafundishwa direct na Mtu fulani mfano mzuri ni hii Tunayofundishwa darasani..Kwa hiyo unataka kusema vinatofauti??
Kwanini wengine wasionekane?Kwa nje utaona wanapiga pesa lakini wenyewe wanajua hali halisi...Usione ukadhani.
Kwanini wengine wasionekane?
Usipeleke watoto wako shule ili wawe matajiri kama Kishimba.Kwani Matajiri wote Tanzania wasiosoma unawajua? Matajiri wote wa migodini unawajua? Ukimuacha Supa Feo aliyetitangaza juzi ,Kishimba ,Musukuma ambao ni darasa la 7 ,wengine matajiri wasiosoma unawajua? Kutokuwaona wewe ndiyo hawapo?
Usipeleke watoto wako shule ili wawe matajiri kama Kishimba.