matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Wasomi nao wamekatazwa kusema umuhimu wa usomi wao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio msomi ila Dhihaka, Dharau, na namna anavyosema vibaya juu ya wasomi, inawezekana kabisa atakuwa na nia nzuri sana ila namna ujumbe wake anavyopeleka kwa wasomi. Tunajenga vipi vijana wetu wa kizazi kijacho kwa hawa wanaoitwa influencesSijakuelewa wewe msomi wa kitanzani point yako ni ipi?
Km elimu yetu itaendelea kuwa ivi ivi ilivyo leo basi ni sahihi hao vijna wetu waje kudharau elemu yetu hata asingefanya ivo dottoBoss mimi sio msomi, ila point yangu ni namna dhihaka, Dharau, kejeli juu ya wasomi. Unajua inawezekana akawa ana point nzuri sana lakini namna anavyowasilisha kwenye jamii kuhusu wasomi ikawa sio sawa haswa kwa vijana wetu wadogo, inawezekana wakaja kudharau kusoma na kuona maisha ni kama anavyoishi dotto, kwa maana ya kushika pesa tu ndio mwisho wa maisha pasipo kusoma
Sawa mzanaki mwenzangu, Ila hawa vijana wadogo ambao wanashika simu na kumwangalia Dotto kama role model wao na baadhi kuacha masomo na kushinda vijiweni, Hatma yao ni nini ?Acha Doto Magari atunyooshe Wasomi wa Tanzania na tena namuunga mkono 100% kwa jinsi anavyotudharau na namuomba asichoke Kutudharau Kwake. Eti kabisa nawe Unaumia...!!
Kama Msomi kamaliza Chuo Kikuu lakini hawezi hata tu kubuni Wazo la Biashara lakini Yeye ( Doto Magari ) asiye na hata Elimu kaweza kuwa Mbunifu akitudharau anatukosea?
Mtu mwenye hela alafu hana elimu , kuna kitu kinakua kinamtesa sana ndani yake, ndio wakina Msukuma”Anaongea ukweli.
Maelezo kibao ila sijaona hilo jambo analokosea Dotto unalotaka mamlaka imuangalie! Wewe ni mchawi baridi, ukikomaa utakuwa shetani kabisa, punguza wivu.Salaam wakuu!
Najua huwa anafanya ki utani utani tu na huwa hamaanishi ila sijajua tunajenga kizazi cha namna gani, Amekuwa akipata endorsement kubwa nyingi kutoka makampuni mengi sana na kupata hela ambazo yeye anaona amekuwa Tajiri na kudharau wasomi.
Kuna namna baadhi ya vitu anatakiwa kukemewa ili ku balance mambo haswa kwenye hiki kizazi ambacho vijana wengi wadogo sana wanashika simu na kutwa kushinda Instagram.
Sawa mimi nimejiajiri kama legal and business consultant, Hapa katikati zilitoka nafasi nyingi sana za walimu na baadhi ya kada mbali mbali serikalini nilikuwa na wasaidia hasa kwenye kuhakiki vyeti na shughuli nyingine za kisheria; Kwa kweli mtaani ni pagumu sana, tena sana ila bado tunaona serikali inataka wataalamu katika kila nyanja.
Wasomi bado wanahitajika sana katika kila nyanja za private na public.
Kitu kipo kinamtesa?Mtu mwenye hela alafu hana elimu , kuna kitu kinakua kinamtesa sana ndani yake, ndio wakina Msukuma”
Ndio kipo kinaitwa inferiority complex, akiwa na wafanya BIASHARA wenzie na wenye elimu anajiona ha-fitKitu kipo kinamtesa?
Sawa mkuu, nakubali mimi mchawi baridi, ila assume umelipa ada yako kwa kujinyima na umemsomesha mtoto wako matokeo yametoka amekuwa wa mwisho, Kama mzazi ukamuuliza tu kistaarabu shida ni nini mwanangu ? Akakuuliza niliona Instagram Dotto anasema yeye hakusoma ila anaendesha magari mazuri na kuishi maisha mazuri nataka kuwa kama yeye. Je, Utamjibuje mwanao ?Maelezo kibao ila sijaona hilo jambo analokosea Dotto unalotaka mamlaka imuangalie! Wewe ni mchawi baridi, ukikomaa utakuwa shetani kabisa, punguza wivu.
Kama naye ni msomi kwa jinsi ali yomalizia bora Dotto aendelee kuwabezaNilikuwa nataka kuanza kukuelewa ghafla nikawa sikuelewi kabisa
Point yangu kubwa ni dhihaka na nguvu kubwa anayotumia kudharau na kukejeli wasomi, Inawezekana mimi na wewe tayari tuna uelewa kidogo je, Kizazi chetu cha sasa haswa vijana wadogo wanajifunza nini ?Kama naye ni msomi kwa jinsi ali yomalizia bora Dotto aendelee kuwabeza
Mkuu samahani, inawezekana hukunielewa, naomba niambie hapo nimemaliziq vibaya kivipi ili niweke sawa, Kikubwa ni kujenga na sio kubomo.Kama naye ni msomi kwa jinsi ali yomalizia bora Dotto aendelee kuwabeza
Huo ndio ujinga wake msomi hawezi kushangaa.Point yangu kubwa ni dhihaka na nguvu kubwa anayotumia kudharau na kukejeli wasomi, Inawezekana mimi na wewe tayari tuna uelewa kidogo je, Kizazi chetu cha sasa haswa vijana wadogo wanajifunza nini ?
Superfeo kaishia la7 juz kafungua kiwanda cha unga songea kawekeza B5, kaajiri wenye degree, wacha mambo yajipambanue, pesa ndio kilakituNdio kipo kinaitwa inferiority complex, akiwa na wafanya BIASHARA wenzie na wenye elimu anajiona ha-fit
Nakubaliana nawewe100%Kama naye ni msomi kwa jinsi ali yomalizia bora Dotto aendelee kuwabeza
Hapo shida nini? Bro tafuta ela, elimu bila ela ndo matokeo yakoSawa mkuu, nakubali mimi mchawi baridi, ila assume umelipa ada yako kwa kujinyima na umemsomesha mtoto wako matokeo yametoka amekuwa wa mwisho, Kama mzazi ukamuuliza tu kistaarabu shida ni nini mwanangu ? Akakuuliza niliona Instagram Dotto anasema yeye hakusoma ila anaendesha magari mazuri na kuishi maisha mazuri nataka kuwa kama yeye. Je, Utamjibuje mwanao ?