Doto magari na wasomi, mamlaka kuweni makini

Superfeo kaishia la7 juz kafungua kiwanda cha unga songea kawekeza B5, kaajiri wenye degree, wacha mambo yajipambanue, pesa ndio kilakitu
Elimu na Pesa havilingani ni vitu viwili tofauti vinavyopatikana kwa njia tofauti …education is sacred ila sio pesa ambayo unaweza ukalala kesho ukaamka tajiri ukiweza kubahatisha sport Pesa jackpot sio elimu huwezi ukaamka ukasema leo nimeelimika…Pesa kila mtu anatafuta na kila mtu anazo tofauti ni kiasi sio elimu sio ya kila mtu
 
Point yangu kubwa ni dhihaka na nguvu kubwa anayotumia kudharau na kukejeli wasomi, Inawezekana mimi na wewe tayari tuna uelewa kidogo je, Kizazi chetu cha sasa haswa vijana wadogo wanajifunza nini ?
Kwani ni lazima wajifunze kwa dotto? Akili ya kumiliki ela ni ngumu sana kwaio km dotto kamiliki ela sioni sababu ya kumbeza. Nakushauri kama umewezq kufanikisha elimu ufanikishe na ela uache sababu zisizo na mbele
 
Hapo shida nini? Bro tafuta ela, elimu bila ela ndo matokeo yako
Tajiri mbona umekosa jibu ? Kikubwa ninchosema ni kutafuta hela sana tena sana na pia kuipata elimu japo kidogo ili kubance mambo na sio kuidharau elimu kwa kigezo cha kutafuta hela.
 
Dotto hajadharau elimu, nadhani anachokifanya ni kuhamasisha vijana wasiosoma pia wasikate tamaa ukitafuta ela unazipata haijalishi umesoma au ujasoma
 
Point yangu kubwa ni dhihaka na nguvu kubwa anayotumia kudharau na kukejeli wasomi, Inawezekana mimi na wewe tayari tuna uelewa kidogo je, Kizazi chetu cha sasa haswa vijana wadogo wanajifunza nini ?
Usomi wetu hatujautafsiri kwa vitendo acha kubezwa kuendelee
 
Kufaulu shule sio kufaulu maishani
Kila mmoja na bahati yake
Wengine wanazunguka bila ajira na Masters zao ila hawajiongezi
 
Elimu ni kile kilichobaki baada ya kusahau vyote ulivyofundishwa shule I.

Kama hukumbuki kitu wewe sio msomi
 
Nadhani hujanielewa, namaanisha kauli anazotumia sio za kujenga sana na kuwapa watu moyo wa kutafuta, anatumia kauli za dharau kuwadhoofisha wasomi
Anawatia nguvu wapambane kivingine labda
Labda nae sio kihivyo hebu nimsome maana sijamjua bado
 
Tajiri mbona umekosa jibu ? Kikubwa ninchosema ni kutafuta hela sana tena sana na pia kuipata elimu japo kidogo ili kubance mambo na sio kuidharau elimu kwa kigezo cha kutafuta hela.
Huwezi pata pesa bila kuwa na elimu na maarifa labda kama ni urithi
 
Salaam wakuu!

Najua huwa anafanya ki utani utani tu na huwa hamaanishi ila sijajua tunajenga kizazi cha namna gani, Amekuwa akipata endorsement kubwa nyingi kutoka makampuni mengi sana na kupata hela ambazo yeye anaona amekuwa Tajiri na kudharau wasomi.

Kuna namna baadhi ya vitu anatakiwa kukemewa ili ku balance mambo haswa kwenye hiki kizazi ambacho vijana wengi wadogo sana wanashika simu na kutwa kushinda Instagram.

Sawa mimi nimejiajiri kama legal and business consultant, Hapa katikati zilitoka nafasi nyingi sana za walimu na baadhi ya kada mbali mbali serikalini nilikuwa na wasaidia hasa kwenye kuhakiki vyeti na shughuli nyingine za kisheria; Kwa kweli mtaani ni pagumu sana, tena sana ila bado tunaona serikali inataka wataalamu katika kila nyanja.

Wasomi bado wanahitajika sana katika kila nyanja za private na public.
Msomi anayeumia kwa kukejeliwa na mtu ambaye hajaenda shule (yaani sio Msomi), huyo HASTAHILI kuitwa Msomi na anastahili kukejeliwa hadi aipate freshi!
 
Bwana legal consultant ulitaka kuandika nini?

Back
Top Bottom