Doto magari na wasomi, mamlaka kuweni makini

Sijakuelewa wewe msomi wa kitanzani point yako ni ipi?
Mimi sio msomi ila Dhihaka, Dharau, na namna anavyosema vibaya juu ya wasomi, inawezekana kabisa atakuwa na nia nzuri sana ila namna ujumbe wake anavyopeleka kwa wasomi. Tunajenga vipi vijana wetu wa kizazi kijacho kwa hawa wanaoitwa influences

Quote
 
Km elimu yetu itaendelea kuwa ivi ivi ilivyo leo basi ni sahihi hao vijna wetu waje kudharau elemu yetu hata asingefanya ivo dotto
 
Sawa mzanaki mwenzangu, Ila hawa vijana wadogo ambao wanashika simu na kumwangalia Dotto kama role model wao na baadhi kuacha masomo na kushinda vijiweni, Hatma yao ni nini ?
 
Maelezo kibao ila sijaona hilo jambo analokosea Dotto unalotaka mamlaka imuangalie! Wewe ni mchawi baridi, ukikomaa utakuwa shetani kabisa, punguza wivu.
 
Tanzania kwa sasa we ongea sanaa chekesha pia umeulaaa
Jamii yote itakufatilia

Ova
 
Pesa hazina mwenyewe, unaweza ukashinda hata kamari , ukauza madawa, ukafanya ukahaba , ukafanya BIASHARA ukapata , ukazaliwa na tajiri ukawa tajiri, ukaolewa ukazipata Elimu sio hivyo, elimu ina hitaji nidhamu
 
Maelezo kibao ila sijaona hilo jambo analokosea Dotto unalotaka mamlaka imuangalie! Wewe ni mchawi baridi, ukikomaa utakuwa shetani kabisa, punguza wivu.
Sawa mkuu, nakubali mimi mchawi baridi, ila assume umelipa ada yako kwa kujinyima na umemsomesha mtoto wako matokeo yametoka amekuwa wa mwisho, Kama mzazi ukamuuliza tu kistaarabu shida ni nini mwanangu ? Akakuuliza niliona Instagram Dotto anasema yeye hakusoma ila anaendesha magari mazuri na kuishi maisha mazuri nataka kuwa kama yeye. Je, Utamjibuje mwanao ?
 
Point yangu kubwa ni dhihaka na nguvu kubwa anayotumia kudharau na kukejeli wasomi, Inawezekana mimi na wewe tayari tuna uelewa kidogo je, Kizazi chetu cha sasa haswa vijana wadogo wanajifunza nini ?
 
Point yangu kubwa ni dhihaka na nguvu kubwa anayotumia kudharau na kukejeli wasomi, Inawezekana mimi na wewe tayari tuna uelewa kidogo je, Kizazi chetu cha sasa haswa vijana wadogo wanajifunza nini ?
Huo ndio ujinga wake msomi hawezi kushangaa.
 
Ndio kipo kinaitwa inferiority complex, akiwa na wafanya BIASHARA wenzie na wenye elimu anajiona ha-fit
Superfeo kaishia la7 juz kafungua kiwanda cha unga songea kawekeza B5, kaajiri wenye degree, wacha mambo yajipambanue, pesa ndio kilakitu
 
Hapo shida nini? Bro tafuta ela, elimu bila ela ndo matokeo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…