The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Naona wale wote waliokuwa mashabiki wa Magufuli wameamua Kwa makusudi kum push huyu Biteko kuvaa viatu vya Magufuli ili aje awe "the Next Magufuli" matokeo yake wanamshauri vibaya sana au pengine yeye mwenyewe kwa kujaribu kuvaa viatu vya Magufuli ndo anazidi kuharibu na since washauri sometimes ni kama wapambe na machawa hata akikosea hawamwambii ukweli.
Biteko anafanya makosa yake Yale yale ambayo wengine wanafanya lakini huoni akiambiwa lolote.. .bila kujali matokeo.
Biteko Kwa "kukurupuka au kukosa ushauri sahihi kaamua kusitisha likizo za wafanyakazi wote wa Tanesco Kwa muda usiojulikana, bila kujali huo uamuzi utaathiri watu wengi Sana hata ambao wengine si wafanyakazi wa Tanesco.
Wapo ambao walipaswa kwenda kuoa au kuolewa likizo ya mwaka wote wanapaswa tusubiri siku waziri akiamka vizuri na kurudisha likizo. .ndo wapange tarehe za harusi.
Wapi waliotaka kusafiri mbaali kutazama familia, wote hawa watasubiri. Wapo ambao wamechoka na wanataka kupumzika Ku "recharge" hawa nao watalazimika kwenda kazini hadi waziri akiamka na kukumbuka kuwa "kasitisha likizo".
Waziri anafanya maamuzi ya kuathiri watu wengi bila kushauriwa sahihi.
Zipo idara watu wapo wachache, hawawezi kwenda likizo wote Kwa mara moja lazima wajipange kila mwezi Nani anaenda Nani abaki, waziri keshatibua hili na haijulikani lini akiruhusu wangapi wataweza kwenda likizo kabla ya mwaka kuisha.
Yote haya for "political mileage"
Waziri Biteko alipoingia alibadili na mkurugenzi wa shirika halafu miezi michache baadae anaenda tena Tanesco kukoroma kuhusu utendaji bila kumpa nafasi Mkurugenzi mpya kufanya maamuzi yake bila "political interference" sasa hapa swali Waziri Biteko anashauriwa na nani? Hizi political interference Kwa shirika kubwa kama Tanesco zitaisha lini? Zina faida? Kama unaweka mkurugenzi unaemtaka na kumuamini why bado unaendeleza political interference?
Biteko anashauriwa na nani?