Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sahihi kabisa, hata kama itawabidi kufanya kazi uchi kama wanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sahihi kabisa, hata kama itawabidi kufanya kazi uchi kama wanga.
Kama wanafanya hivi kweli basi washughulikiwe harakaAmepewa zawadi hiyo wizara Acha aichape atakavyo , chukua hii kanda ya Ziwa wameishika Tanesco Kwa sasa
1. WAZIRI
2. MWENYEKITI WA BODI
3. MKURUGENZI MTENDAJI
4. DIRECTORS KARIBU 50%
Huko Chini vimemo vya kanda ni kama vyote hizo Wilaya wanapena Tu.
CCM HAIJALALA!
Sidhani kama ni ishu kubwa kama unavyosema, hii anaweza hata akafanya mwenyewe kwenye simu au kompyuta yake! Au hata akinitumia debit number yake naweza kumtengenezea na kumtumia. Na mimi sifanyi kazi TRA.nafikiri mambo mengine mnalaumu kwa kutokuelewa labda, hapo tra walikuwa sahihi kuna vitu sababu ya data protection na hii ni sheria muhusika mwenyewe lazima afike na kutoa kitambulisho na ndiyo maana ya kitambulisho, hiyo control namba ni yako wewe na siyo ya mtoto wako wala mume/mke na haipaswi kupewa mwingine, hapo walikuwa sahihi kabisa …
Kumbe!Amepewa zawadi hiyo wizara Acha aichape atakavyo , chukua hii kanda ya Ziwa wameishika Tanesco Kwa sasa
1. WAZIRI
2. MWENYEKITI WA BODI
3. MKURUGENZI MTENDAJI
4. DIRECTORS KARIBU 50%
Huko Chini vimemo vya kanda ni kama vyote hizo Wilaya wanapena Tu.
CCM HAIJALALA!
Kama ni kweli, hiyo hali inabidi idhibitiwe harakaIla kanda ya ziwa hiyo tabia wanayo sana,ukienda pale chuo ubaharia kila idara wamejazana wenyewe,yan pale ni vululu vululu,kulikua na wakenya na waganda wanakuja kwa wingi kusoma pale ila now wameanza kupakimbia sababu ya utaratibu wa kishamba
Hapana, nani wa kuomba control no. kabla ya kuweka data zake vizuri?. Just last week walinitumia ujumbe wa kuja kuchukuwa control no kulipia amount ikatajwa pia na deadline ikatajwa.nafikiri mambo mengine mnalaumu kwa kutokuelewa labda, hapo tra walikuwa sahihi kuna vitu sababu ya data protection na hii ni sheria muhusika mwenyewe lazima afike na kutoa kitambulisho na ndiyo maana ya kitambulisho, hiyo control namba ni yako wewe na siyo ya mtoto wako wala mume/mke na haipaswi kupewa mwingine, hapo walikuwa sahihi kabisa …
Unaweza kumtengenezea control number?Sidhani kama ni ishu kubwa kama unavyosema, hii anaweza hata akafanya mwenyewe kwenye simu au kompyuta yake! Au hata akinitumia debit number yake naweza kumtengenezea na kumtumia. Na mimi sifanyi kazi TRA.
Umeme umeanza kuonekana kwa sababu ya kuchapa kazi au mvua kujaza mabwawa?KNK......Huyu mwamba ana chapa kazi na matokeo ya kazi yake yanaonekana,umeme ulikua zaidi ya kero,atleast tumeanza kuinjoi,shughuli za kiuchumi zinaenda,umeme umetulia.
Ishu ya kuzuia likizo,nadhani ni ilikua ishu ya mpito sababu ya kukabiliana na kadhia iliyokuwepo,hawezi kuzuia likizo milele,sheria za kazi na mahusiano kazini zipo wazi.
Chapa kazi Mzee wa "Kusema na Kutenda"
KNK...
Angekuwa ameyafanya yote haya na umeme bado unasumbua ningekuunga mkono ila kwakuwa sasa hivi umeme ni uhakika binafsi naona alikuwa sahihi.Naona wale wote waliokuwa mashabiki wa Magufuli wameamua Kwa makusudi kum push huyu Biteko kuvaa viatu vya Magufuli ili aje awe "the Next Magufuli" matokeo yake wanamshauri vibaya sana au pengine yeye mwenyewe kwa kujaribu kuvaa viatu vya Magufuli ndo anazidi kuharibu na since washauri sometimes ni kama wapambe na machawa hata akikosea hawamwambii ukweli.
Biteko anafanya makosa yake Yale yale ambayo wengine wanafanya lakini huoni akiambiwa lolote.. .bila kujali matokeo.
Biteko Kwa "kukurupuka au kukosa ushauri sahihi kaamua kusitisha likizo za wafanyakazi wote wa Tanesco Kwa muda usiojulikana, bila kujali huo uamuzi utaathiri watu wengi Sana hata ambao wengine si wafanyakazi wa Tanesco.
Wapo ambao walipaswa kwenda kuoa au kuolewa likizo ya mwaka wote wanapaswa tusubiri siku waziri akiamka vizuri na kurudisha likizo. .ndo wapange tarehe za harusi.
Wapi waliotaka kusafiri mbaali kutazama familia, wote hawa watasubiri. Wapo ambao wamechoka na wanataka kupumzika Ku "recharge" hawa nao watalazimika kwenda kazini hadi waziri akiamka na kukumbuka kuwa "kasitisha likizo".
Waziri anafanya maamuzi ya kuathiri watu wengi bila kushauriwa sahihi.
Zipo idara watu wapo wachache, hawawezi kwenda likizo wote Kwa mara moja lazima wajipange kila mwezi Nani anaenda Nani abaki, waziri keshatibua hili na haijulikani lini akiruhusu wangapi wataweza kwenda likizo kabla ya mwaka kuisha.
Yote haya for "political mileage"
Waziri Biteko alipoingia alibadili na mkurugenzi wa shirika halafu miezi michache baadae anaenda tena Tanesco kukoroma kuhusu utendaji bila kumpa nafasi Mkurugenzi mpya kufanya maamuzi yake bila "political interference" sasa hapa swali Waziri Biteko anashauriwa na nani? Hizi political interference Kwa shirika kubwa kama Tanesco zitaisha lini? Zina faida? Kama unaweka mkurugenzi unaemtaka na kumuamini why bado unaendeleza political interference?
Biteko anashauriwa na nani?
Hii ni huduma self service, si lazima uende TRA. Hata yeye akiwa na ile karatasi yake ya assessment anaweza kujitengenezea. Infact mtu yeyote anaweza kujitengenezea. Unaingia tu kwenye taxpayer portal self service na kufanya. Kinachohitajika ni debit number. Ukiwa nayo unaweza kujitengenezea. Hata wewe nenda taxpayer portal kuwa na tin kama username na password. Ukisha log in. Unaweza kujifanyia. And yes mtu akikupa debit number yake, ukiingia kwenye portal ya TRA( i mean uki log in ) unaweza kumtengenezea conntrol number.Unaweza kumtengenezea control number?
Mkuu suala la likizo tu ndiyo imekushawishi kusema kuwa Dotto amekosea sana na hawezi kuvaa viatu vya Magufuli au kuna kingine zaidi ya hapo.Naona wale wote waliokuwa mashabiki wa Magufuli wameamua Kwa makusudi kum push huyu Biteko kuvaa viatu vya Magufuli ili aje awe "the Next Magufuli" matokeo yake wanamshauri vibaya sana au pengine yeye mwenyewe kwa kujaribu kuvaa viatu vya Magufuli ndo anazidi kuharibu na since washauri sometimes ni kama wapambe na machawa hata akikosea hawamwambii ukweli.
Biteko anafanya makosa yake Yale yale ambayo wengine wanafanya lakini huoni akiambiwa lolote.. .bila kujali matokeo.
Biteko Kwa "kukurupuka au kukosa ushauri sahihi kaamua kusitisha likizo za wafanyakazi wote wa Tanesco Kwa muda usiojulikana, bila kujali huo uamuzi utaathiri watu wengi Sana hata ambao wengine si wafanyakazi wa Tanesco.
Wapo ambao walipaswa kwenda kuoa au kuolewa likizo ya mwaka wote wanapaswa tusubiri siku waziri akiamka vizuri na kurudisha likizo. .ndo wapange tarehe za harusi.
Wapi waliotaka kusafiri mbaali kutazama familia, wote hawa watasubiri. Wapo ambao wamechoka na wanataka kupumzika Ku "recharge" hawa nao watalazimika kwenda kazini hadi waziri akiamka na kukumbuka kuwa "kasitisha likizo".
Waziri anafanya maamuzi ya kuathiri watu wengi bila kushauriwa sahihi.
Zipo idara watu wapo wachache, hawawezi kwenda likizo wote Kwa mara moja lazima wajipange kila mwezi Nani anaenda Nani abaki, waziri keshatibua hili na haijulikani lini akiruhusu wangapi wataweza kwenda likizo kabla ya mwaka kuisha.
Yote haya for "political mileage"
Waziri Biteko alipoingia alibadili na mkurugenzi wa shirika halafu miezi michache baadae anaenda tena Tanesco kukoroma kuhusu utendaji bila kumpa nafasi Mkurugenzi mpya kufanya maamuzi yake bila "political interference" sasa hapa swali Waziri Biteko anashauriwa na nani? Hizi political interference Kwa shirika kubwa kama Tanesco zitaisha lini? Zina faida? Kama unaweka mkurugenzi unaemtaka na kumuamini why bado unaendeleza political interference?
Biteko anashauriwa na nani?
Likizo tu ndo uongee yote haya?Naona wale wote waliokuwa mashabiki wa Magufuli wameamua Kwa makusudi kum push huyu Biteko kuvaa viatu vya Magufuli ili aje awe "the Next Magufuli" matokeo yake wanamshauri vibaya sana au pengine yeye mwenyewe kwa kujaribu kuvaa viatu vya Magufuli ndo anazidi kuharibu na since washauri sometimes ni kama wapambe na machawa hata akikosea hawamwambii ukweli.
Biteko anafanya makosa yake Yale yale ambayo wengine wanafanya lakini huoni akiambiwa lolote.. .bila kujali matokeo.
Biteko Kwa "kukurupuka au kukosa ushauri sahihi kaamua kusitisha likizo za wafanyakazi wote wa Tanesco Kwa muda usiojulikana, bila kujali huo uamuzi utaathiri watu wengi Sana hata ambao wengine si wafanyakazi wa Tanesco.
Wapo ambao walipaswa kwenda kuoa au kuolewa likizo ya mwaka wote wanapaswa tusubiri siku waziri akiamka vizuri na kurudisha likizo. .ndo wapange tarehe za harusi.
Wapi waliotaka kusafiri mbaali kutazama familia, wote hawa watasubiri. Wapo ambao wamechoka na wanataka kupumzika Ku "recharge" hawa nao watalazimika kwenda kazini hadi waziri akiamka na kukumbuka kuwa "kasitisha likizo".
Waziri anafanya maamuzi ya kuathiri watu wengi bila kushauriwa sahihi.
Zipo idara watu wapo wachache, hawawezi kwenda likizo wote Kwa mara moja lazima wajipange kila mwezi Nani anaenda Nani abaki, waziri keshatibua hili na haijulikani lini akiruhusu wangapi wataweza kwenda likizo kabla ya mwaka kuisha.
Yote haya for "political mileage"
Waziri Biteko alipoingia alibadili na mkurugenzi wa shirika halafu miezi michache baadae anaenda tena Tanesco kukoroma kuhusu utendaji bila kumpa nafasi Mkurugenzi mpya kufanya maamuzi yake bila "political interference" sasa hapa swali Waziri Biteko anashauriwa na nani? Hizi political interference Kwa shirika kubwa kama Tanesco zitaisha lini? Zina faida? Kama unaweka mkurugenzi unaemtaka na kumuamini why bado unaendeleza political interference?
Biteko anashauriwa na nani?
Hiko ndiyo kiwango chako cha kujua Jambo fulani ni majungu, mwambie afute katazo lake na awake sawa uendeshaji wa shirika kwani maamuzi mengi yameelemea kwenye Ukanda wa Ziwa ni hatari kwa ukuajia wa shirika. Kupatikana Kwa umeme si kigezo cha kuwepo kundi moja kubwa kwenye hatma ya shirika mbona hakuleta huo umeme wa uhakika miezi 6 nyuma huko. Hata akiwa wa kanda yangu lakini asiwe wa kuwagawa watu na huduma iwepo na vile siyo muumini wa Ukanda zaidi ya utanzania na maslahi ya Chama zaidi.Mmeanza majungu baada ya kuona umeme umeanza kutulia ili turudi kulekule sasa hao kama wa kanda ya ziwa wanachapa kazi na umeme unapatikana shida ipo wapi?
Au unataka wa kanda yako alafu umeme usiwepo
AaahaaaWewe kwa usumbufu ule wa umeme ukaona ndoa yako ina umuhimu kuliko uchumi wa nchi?