Dotto Biteko anashauriwa na kina nani?

Hamna namna tumrudishe Makamba ufurahi.
 
Kama umechoka kazi basi acha kazi ili nije huku mitaani tuungane na uone kama utamaliza hata Wiki na zile kauli zenu za kajiajiri. Wewe kwanza shukuru Mungu umepata ajira na unalipwa mshahara.Hivi kweli huoni hata aibu kusema habari za mtu kwenda kuoa na kuolewa? Basi acha kazi ili ukaoe na kuolewa

Watanzania tunataka umeme tu na siyo malalamiko yasiyo na mashiko
 
Naunga mkono hoja
 
Mmeanza majungu baada ya kuona umeme umeanza kutulia ili turudi kulekule sasa hao kama wa kanda ya ziwa wanachapa kazi na umeme unapatikana shida ipo wapi?
Au unataka wa kanda yako alafu umeme usiwepo?
 
Ili mradi tu asingiziwe magufuli,kila anachokifanya mtu binafsi jiwe anatajwa. Kizimkazi kila kukicha anavurunda eti nae mnasingizia anashauriwa vibaya. Mtu akivurunda ni yeye msisingizie washauri wake
Naam, si sahihi kumsingizia marehemu. Lkn pia wafanyakazi wa serekali wanadeka sana wanahitaji mtu wa kuwapeleka mchakamchaka, bila hivyo kila kitu kitakwama.
Mf. Jana nilimwagiza mtu TRA Mwanza anichukulie control no. niweze kufanya malipo ya robo ya 2, huyo mtu alijibiwa kuwa hawatompa control no. mpaka mwenye TIN no aje mwenyewe!.
Btw siku hizi kwetu umeme haukatikikatiki, kama ni matokeo ya uamuzi wa Biteko, namuunga mkono.
 
Kwa ajili ya uwajibikaji ilikuwa sawa kufuta likizo washughulikie changamoto za umeme zilizokuwepo, kiongozi anayejitambua kufuta likizo au safari za nje ili kutatua changamoto huwa ni kawaida sana.
Kama tayari kuna electric stability viongozi wawasiliane na uongozi wa juu kuhusu likizo zao coz ni takwa la kisheria.
 
Ili mradi tu asingiziwe magufuli,kila anachokifanya mtu binafsi jiwe anatajwa. Kizimkazi kila kukicha anavurunda eti nae mnasingizia anashauriwa vibaya. Mtu akivurunda ni yeye msisingizie washauri wake
Hii mijitu mingine midini dini hii bila kumtaja Magufuli kwa kila baya la nchi hii haiwezi kuishi. Huko CCM angalau Biteko ndiye anaonekana kuwa a voice of reason; na siyo mkurupukaji.

Na pengine badala ya kumlaumu marehemu, vipi lawama kama zingeelekezwa kwa bosi wake wa sasa? Kwa nini anaruhusu waziri wake afanye mambo ya KiMagufuli Gufuli? Si amfukuze tu? Doesn't the buck stop with her? πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Kati ya hao wafanyakazi shemeji kakumbwa na hiyo nini!
 
Issue ya kuvaa viatu vya JPM hiyo hakuna hana uwezo, sihitaji kuongea sana ila wenye kazi zao wakizama deep watanielewa.
 
Ila kanda ya ziwa hiyo tabia wanayo sana,ukienda pale chuo ubaharia kila idara wamejazana wenyewe,yan pale ni vululu vululu,kulikua na wakenya na waganda wanakuja kwa wingi kusoma pale ila now wameanza kupakimbia sababu ya utaratibu wa kishamba
 

nafikiri mambo mengine mnalaumu kwa kutokuelewa labda, hapo tra walikuwa sahihi kuna vitu sababu ya data protection na hii ni sheria muhusika mwenyewe lazima afike na kutoa kitambulisho na ndiyo maana ya kitambulisho, hiyo control namba ni yako wewe na siyo ya mtoto wako wala mume/mke na haipaswi kupewa mwingine, hapo walikuwa sahihi kabisa …
 
Hakuna aliyewahi kuonywa na mwana JF The Boss akakaza shingo alafu akaja kupona!

Uzi maarufu zaidi wa kumuonya Magufuli upo humu. Alikaza shingo na kilichomkuta kila mtu anakifahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…