Dotto Biteko anashauriwa na kina nani?

Ila kanda ya ziwa hiyo tabia wanayo sana,ukienda pale chuo ubaharia kila idara wamejazana wenyewe,yan pale ni vululu vululu,kulikua na wakenya na waganda wanakuja kwa wingi kusoma pale ila now wameanza kupakimbia sababu ya utaratibu wa kishamba
Ni hulka Yao na inapelekea hadi wa ngazi ya Chini kuwa viburi sana, sijui huko kwenye vikao vyao vya kikabila wanamezeshana sumu gani? . Uongozi mzuri ni kuwathamini watu wote haswa Kwa uchapa kazi na si kubebana sana.
 
Ila kanda ya ziwa hiyo tabia wanayo sana,ukienda pale chuo ubaharia kila idara wamejazana wenyewe,yan pale ni vululu vululu,kulikua na wakenya na waganda wanakuja kwa wingi kusoma pale ila now wameanza kupakimbia sababu ya utaratibu wa kishamba
Hapo awali palikuwa pameshikwa na nani asiyekuwa mshamba?
 
Kama timu yake ni wale wanaogaagaa mchangani kumlilia Samia unategemea nini
 
Miaka ya mkapa kulikua na capt mmoja mznz baadae akashika mchaga,baada ya hapo chuo kikashikwa na watu wa kanda ya ziwa ndio hadi leo,chuo kinaendeshwa kizamani mno
Be specific bwana. Kanda ya ziwa ina mamilioni ya watu kutoka makabila mbalimbali wewe "mbaguzi"
Kwamba wachagua na wazanzibar ndo wasokuwa washamba?
 
N kama wewe tu bila kusumbua watu huklali vizuri siku hiyo, unalalamika nini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…